Kiko wapi hicho mkuu?View attachment 323197View attachment 323198mambo ya College of Wizardry
duh.. kasheshe hii huenda usemi wa donald trump ukawa kweli hebu waifanyie uchunguzi hoja yake🙂Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.
Karibu
Kitafute mtandaoni utakipata ila hakipo AfricaKiko wapi hicho mkuu?
Mimi hapana siwezi sitaki kabisa kumpeleka mtu kwenye matatizo, uchawi ni kama madawa ya kulevya kuacha ni ngumu na kadiri unavyouzoea ndio unataka zaidiMshana Jr dili
Wapo usichanganye mganga na mchawiKumbe hakuna mganga wa ukweli bongo?
kama vile yepi?Nautumia kufanya mambo yangu kirahisi
Kuchunguliwa matusii???!!!Basi haupo serious hapa kwetu hakuna chuo cha maana sana sana utashindishwa uchi upakawe majivu na mikaa na kuchunguliwa matusi...!baasi