kuna mtu unataka umlipizie kisasi nini?Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.
Karibu
Are u serious? unataka kuwa mchawi au mshirikina?Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.
Karibu
Kama kweli uko serious tafuta hiki chuo College of Wizardry(CoW)Habari za leo.