Nataka kuwa Mchawi

Nataka kuwa Mchawi

Hivi mshana jr hii elimu ya uchawi uliipata wapi?
Na ni nn kilikusukuma mpaka ukapata ujasiri wa kuyachunguza haya mambo kiundan sana?
Je ww ni mchawi? Au umewahi kuwa mchawi?

Samahan kwa haya maswali ni katk kueleweshana tu
 
Mgirik nilipokulia unapafahamu vema zile njiapanda zilizoshikana ile mito miwili iliyokuwa inakutana pale ule mti mkubwa uliokuwa na nyuki....stori inaanzia pale
Matukio halisi ya udogoni niliyoshuhudia live
-vifo vya kutisha kwenye zile njiapanda
-makafara yaliyokuwa yanafanyika pale
-Moto uliokuwa unatembea pale
-Moto uliokuwa unaunguza ule mti usiku lakini asubuhi mti uko vile vile
-nyoka vinyonga wadudu wa ajabu na mambo mengine mengi ya pale darajani
.....mambo yote yalianzia pale
 
Maelezo yako yapo wazi.....hutaki elimu ya kusoma nyota, hutaki uganga bali unataka uchawi, nifuate pm maana hizi elimu msipoziona ndipo mnaposema hazipo duniani.
Mkuu na mm nukufate inbox?
 
MKUU mshana jr wewe umeshapitia huko tayari au?
Naona wazungu ndio wengi huko, au ni chuo cha wazungu tu? Wangekuwa waafrika wanajifunza uchawi wangekuwa uchi! Kwani kuna uhusiano gani kati ya uchawi wa waafrika na kuwa uchi kwenye shughuli hiyo!
Huko sikufika kabisa ila kwenye ishu za uchawi kuna wakati hulazimika kubaki mtupu
 
Ina maana hata wazungu wachawi wanalazimika kubaki watupu wakati mwingine, au kubaki utupu ni mbinu ya wachawi waafrika tu?
Naye ni binadamu kama wewe tunatofautiana rangi na mazingira nao pia hukaa uchi hata kwenye baadhi ya imani kama satanism
 
MMshana jr hilo lisikupe shida
Mimi namshukuru sana mshana jr maana ni mkweli! Sasa umeshaambiwa cost yake na huko ni one way! hakuna njia ya kurudi maana ni ngumu! Sasa umeamua kuwa king'ang'anizi, sasa usirudi hapa kulia lia!
 
Mkuu kujifunza uchawi hakuitaji application, ila ni kurithi tu! Kutoka home kwa mabibi na mababu au kuwa recruited kama ilivyo ktk system. Dini yangu hairuhusu kumfundisha MTU uchawi kwani huo ni mtihani. Ungesoma tu! IT uwe mchawi wa computers.
 
Mgirik nilipokulia unapafahamu vema zile njiapanda zilizoshikana ile mito miwili iliyokuwa inakutana pale ule mti mkubwa uliokuwa na nyuki....stori inaanzia pale
Matukio halisi ya udogoni niliyoshuhudia live
-vifo vya kutisha kwenye zile njiapanda
-makafara yaliyokuwa yanafanyika pale
-Moto uliokuwa unatembea pale
-Moto uliokuwa unaunguza ule mti usiku lakini asubuhi mti uko vile vile
-nyoka vinyonga wadudu wa ajabu na mambo mengine mengi ya pale darajani
.....mambo yote yalianzia pale
naomba uniunge
 
Back
Top Bottom