Wewe ndio unaona hivyo! Wenzio ni matajiri na wanaheshimiwa Kama raisi huko kwenye dunia yao! Hata hawana wivu na maendeleo yako na Wala hawajali!Huku mtaani kwetu wale wanaotajwa Kama wachawi ni hohehahe hawana mbele wala nyuma wapogo tu, wengine eti ni chuma ulete ila ni masikini hawana hata chakula hata nguo.
Uchawi hauna faida.