MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,215
- 2,614
Naomba mnisaidie Majibu ya ukweli ya swali hili ninalojiulizaga kuhusu waafrica na africa kwa ujumla
KAMA WAKOLONI WASINGETUTAWALA JE TUNGEKUWA MBALI KIMAFANIKIO (KIUCHUMI,TEKNOLOJIA,n.k)KULIKO HAPA TULIPO???
Swali Hili limezaliwa na Hoja ya waafrica wengi kuwa sisi ni maskini kwa sababu wazungu walitutawala na wakaiba rasilimali na kutupumbaza na elimu zao za kimagharibi huku wakiua tamaduni zetu za Asili?
YUWE WAKWELI JE TUNGEKUA MBALI ZAIDI KAMA WAKOLONI WASINGEKUJA??