Jamani Smiling Saint....huwezi ukanipa japo nafasi ya upendeleo dear?? Kipipi won't let you stop smiling......this I promise you!!!
Hahahah! Mamdogo bana....sasa we hapo umemchum wapi SS??
sijui nani zaidi hapa!!!
MH!!! teh teh teh teh hebu chombeza tena...... ila hapa nikitoa watasema mi mdhaifu....... nitakupa lakini sio ya 101
Kiukweli ameongeza speed ya mapigo ya moyo...... ila nasubiri kama atatokea mpinzani kwanza!!
kwenye paji la uso,
yaani baada ya macho na kabla ya nywele.
hahah.......haya mamdogo, mi nitakuchum wewe!!
.like.
Jambo Kipipi?mmmm_mwaaaaaaaaa...
Jambo Kipipi?
Mi niko poa kabisa....za kupotea?Swalama kabisa.....vipi kwa upande wako?
Smiling chipenzi......unajisikiaje kunivunja moyo mwenzio?
Smiling dear, wajua kabisa ni kiasi gani naihitaji hiyo like....! But, usijaali saana mpendwa wangu......naelewa kuwa wewe ni binadamu mwenye fikra na wahitaji muda wa kutosha ili uweze kufanya chaguo lako kwa umakini. Najali saaana maamuzi yako, nami nakuachia muda walau upate wasaa wakufanya maamuzi mazuuuri yatakayoridhisha nafsi yako mpendwa.....lakini nakuomba, nakuomba japo usinitupe tafadhali!!!!
nataka nijue kwanza kama hizi ni za msimu tu au la?