Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Unamdanganya ndugu yangu. Labda vyuo vya private. Lakini hata vyenyewe vinatakiwa kufuata vigezo vilivyowekwa na TCU ambavyo ni Universal kwa vyuo vyote vya Tanzania. Soma hii gudeline toka TCU

" ACADEMIC STAFF QUALIFICATIONS AND RECRUITMENT
In the 2nd Edition Standards and Guidelines the criteria for recruitment of academic staff required that the candidate should have a GPA of at least 3.5 (3.8 in public universities) in undergraduate studies, and 4.0 and above in postgraduate studies. However, the deficiency with this criterion is that in case a candidate has an undergraduate GPA of less than 3.5/3.8 but with good performance in Master’s degree and PhD still the undergraduate GPA acts as a hindrance. Therefore, to address this scenario, the Standards and Guidelines presented in Part 5 underscore the →→need to harmonize minimum entry qualifications at the undergraduate level of Second Class Upper (GPA of at least 3.5) for academic staff in both public and private universities. This will provide equal opportunities for academic staff welfare within the country and ensure that universities are able to recruit adequate numbers of tutorial assistants in areas with critical academic staff scarcity. It will also facilitate movement and sharing of staff across universities"
Sasa ukienda hiyo part 5 wanayoisema utakutana na hii:

"The recruitment of academic staff in a University at all levels shall be based on the candidate’s undergraduate GPA of at least 3.5 and at postgraduate level of at least GPA of 4.0."

Link:

Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Soma haya maelezo kutoka TCU, huo ndio ukweli kwa vyuo vyote Tanzania.

Watu wanawadharau eti Kwa kigezo most of the students wameingia Kwa division three
Hahahah unajua mi huwa siwezi dharau mtu kwa kulingania Pepa za Necta kama Benchmark. Mfumo wa Necta ni kama biko tu, ukiotea unachana.

Kuna mwanangu mmoja alipata div 3 ya kushindwa kuingia chuo direct ila kiasili jamaa ni Genius. Alipokuja kuanza Diploma mi nilikuwa na Lead GPA ila jamaa alikuja na moto wa kuotea mbali. GPA ya kwanza ilikuwa 4.3 zilizofata mpaka Dip inaisha ni 4.5 hashuki hapo. Akachomoka na first class ya B-ICT!

Hakuishia hapo, akaingia Mzumbeni hapo Morogoro. Akaende kuunga Bachelor ya ICT-M. Kilichotokea akanyoosha 4.5 miaka yote mitatu akasepa.

Sasa mtu kama huyu utasema ni kilaza kwa vile hakupata nafasi ya chuo direct?
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Hiyo ndoto imeanza lini, kama ulikuwa nayo toka unasoma degree ya kwanza usingepata hizo gpa, hata ukisoma phd huwezi kufubdisha chuo kikuu chochote, huna sifa, achana na mawazo ya ualimu wa chuo kikuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah unajua mi huwa siwezi dharau mtu kwa kulingania Pepa za Necta kama Benchmark. Mfumo wa Necta ni kama biko tu, ukiotea unachana.

Kuna mwanangu mmoja alipata div 3 ya kushindwa kuingia chuo direct ila kiasili jamaa ni Genius. Alipokuja kuanza Diploma mi nilikuwa na Lead GPA ila jamaa alikuja na moto wa kuotea mbali. GPA ya kwanza ilikuwa 4.3 zilizofata mpaka Dip inaisha ni 4.5 hashuki hapo. Akachomoka na first class ya B-ICT!

Hakuishia hapo, akaingia Mzumbeni hapo Morogoro. Akaende kuunga Bachelor ya ICT-M. Kilichotokea akanyoosha 4.5 miaka yote mitatu akasepa.

Sasa mtu kama huyu utasema ni kilaza kwa vile hakupata nafasi ya chuo direct?
Sasa hivi Yuko wapi.
 
Ametoka Korea juzi kuongeza ujuzi, kuna Chuo kinaitwa Kaist Institute of Technology. Kuna kampuni iko Mikocheni hapo anafanya nayo kazi.
OK vizuri, Lakini B ICT ya pale nasikia ni rahisi Kuna dogo kanambia shule ni rahisi
 
Dah mkuu umenimaliza kabisa, maana nilitaka nicheze hii kama last card . Kuna mtu aliniambia ukiwa na phd ata kama hukufaulu sana uko nyuma aina shida ilimradi uwe na machapisho ya kutosha. Naona alinipotosha.

Aisee ishu ishakuwa ngumu.
Wanaangalia GPA ya Bachelor degree UDSM 3.8. Kwa vyuo vingine ni chini ya hapo lakini 3.0 is too bad
 
Hizo ndoto niliiachana nazo kabisa japo undergraduate nilipata 3.6 na masters 4.2

Haya maisha aisee
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndoto niliiachana nazo kabisa japo undergraduate nilipata 3.6 na masters 4.2

Haya maisha aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta connekshen mzee baba.Kuna malecture au hawa ma assistant wanavyofafanua hoja hadi unajiuliza huyu jamaa aliwezaje kufika hapo maana ni weupe kichwani.Kwa maksi hizo unaweza kupata chuo kikuu ukiwa na connection.Tafuta hata CBE au TIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumdanganya mwenzio. Vigezo vya GPA ya 38 under graduate ana GPA ya 4.0 Masters ni vigezo vilivyowekwa na TCU na ni kwa nyuo vikuu vyote. huna hivo vigezo, huna sifa ya kuwa Tutor wala Assistant lecturer. La kuwa na PhD sina ufahamu nayo kama inafuta vigezo vya nyuma ama la!
Hiiapa TCU guiding book 2o19 soma page 176...... .file:///C:/Users/Dismas/Downloads/AJIRALEO.COM_Handbook%20for%20Standards%20and%20Guidelines%20for%20University%20Education%20in%20Tanzania%20-%203rd%20Edition.pdf
 
Back
Top Bottom