Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

S
Hongera sana kwa mawazo yako ni mazuri.
Ningependa kukushauri ila tatizo hio nyanja bado sijapata info yoyote ila, kuna wazo moja mwana JF mmoja kakuambia kutafuta assistant lecturer naamini ukijiamini hio ndio njia yako...! Embu jiamini ndugu uangalie faida ya kujiamini.! Asante!
Hakuna cha Assistant Lecturer hapo!! Uwe unasoma kwanza wenzio wamepost nini juu
 
Jamani tuache kukurupuka, mtu ili mradi una hela basi unakimbilia kuunga, tafuta kwanza working experience at least ya 4 yrs then nenda masters ukabobee, utafanya vizuri kama siyo kilaza. Sasa unakuta mtu aliunga Masters kila kukicha anatembea na bahasha kuomba kazi experience hakuna. Note: umuhimu wa GPA utaujua baada ya kumaliza chuo"

Mkuu nisome vizuri utaelewa nani anakurupuka.
 
Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
S
Hongera sana kwa mawazo yako ni mazuri.
Ningependa kukushauri ila tatizo hio nyanja bado sijapata info yoyote ila, kuna wazo moja mwana JF mmoja kakuambia kutafuta assistant lecturer naamini ukijiamini hio ndio njia yako...! Embu jiamini ndugu uangalie faida ya kujiamini.! Asante!
Wakuu kwa majibu ya maelezo ya wengine inaonekana kama ukishateleza kwenye first degree basi shughuli inaishia hapo... Sasa sijaelewa which is which ila ngojea tuone wadau wengine wanasemaje
 
T.A kwa vyuo vingi vya sasa lazma uwe na 3.8 ya degree yako uliosomea kwa nnavyojua kwa hivo sio rahisi kwa wewe kupewa hata hio nafasi kabla hujaenda huko phd
 
kuna watu ni vichwa lakini mtu ana 3.8 ya Accounting and Finance ya Muccobs, masters 4.7 ya Risk Management Chuo cha Ardhi msifanye masihara na shule wazee! Kile ni kipaji cha wachache waliochaguliwa
 
Kwa mujibu wa walaka mpya kwa walimu wa vyuo vikuu (harmonized scheme), kwasasa ili ukidhi kigezo cha kuwa muhadhiri chuo kikuu basi usipungue GPA ya 3.8 kwa undergraduate na 4.0 kwa masters. Vinginevyo unaweza kuajiriwa kama technician tu lakini sio muhadhiri.

Kwa maelezo yako nadhani labda ujaribu vyuo vya private
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.

POLE SANA....Sahau kufundisha vyuo vikuu vya umma...labda ukafundishe vyuo vya private....

Kwa Vyuo vya Umma...lazima uwe na:-

Undergraduate...GPA..3.8(Minimum)

Masters....GPA ..4:0(Minimu)..

PhD uwe na PASS...
Hata uwe Prof....,wanaangalia GPA za levels za chini kama nilivyokuelekeza hapo juu.
 
Sema tu kwasababu ya hizi changamoto za pesa, muda, na majukumu ya kifamilia ungeaanza tena degree ingine pasua vizuri katika undergraduate kisha unga na MA nayo pasua vizuri.. Then omba sasa huko kwenye hizo institute ni lazima utapata ...

Uzuri wa kule ni confidence ya unachokijua na uwezo kukiwasilisha.
 
Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Usimpe matumaini kijana wa watu.. Mwambie tu kuwa haiwezekan atafute issue nyengine
 
Sema tu kwasababu ya hizi changamoto za pesa, muda, na majukumu ya kifamilia ungeaanza tena degree ingine pasua vizuri katika undergraduate kisha unga na MA nayo pasua vizuri.. Then omba sasa huko kwenye hizo institute ni lazima utapata ...

Uzuri wa kule ni confidence ya unachokijua na uwezo kukiwasilisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kumuua mwenzio..
 
Nakushauri soma phd kwa malengo mengine sio lazma ufundishe.unaweza kuwa na Phd na ukawa na kazi tofauti na kufundisha.researcher, n.k sio lazma ufundishe ila kuongeza maarifa ni jambo jema sana.
 
Watafute Over seas education uwa wanawatafutia watu vyuo nje na sponsor pia wacheck Fb page yao au instagram kama overseaseducation
 
Hivi watu woote waliofanikiwa lazima wawe waalimu wa chuo? I hate teaching daah bora ufanye mpango upige box tu achana na stress za Tz
 
Omba serikalini Magufuli anachukua walimu laki moja mwaka huu.. Kisha ukiwa kwenye system ndio usome hiyo PhD yako maana Magu anaonekana anajali sana wasomi u never know... Unaweza kuwa ata mtaalamu wa elimu ya walemavu ukifanya PhD isiyochukiliwa na watu wengi ata hiyo masters kwa Magu itakutoa achana na kuwaza ukufunzi hauna hela.
 
Kwa mujibu wa walaka mpya kwa walimu wa vyuo vikuu (harmonized scheme), kwasasa ili ukidhi kigezo cha kuwa muhadhiri chuo kikuu basi usipungue GPA ya 3.8 kwa undergraduate na 4.0 kwa masters. Vinginevyo unaweza kuajiriwa kama technician tu lakini sio muhadhiri.

Kwa maelezo yako nadhani labda ujaribu vyuo vya private
Akawe ata warden wana pesa siku hizi.
 
Dah mkuu umenimaliza kabisa, maana nilitaka nicheze hii kama last card . Kuna mtu aliniambia ukiwa na phd ata kama hukufaulu sana uko nyuma aina shida ilimradi uwe na machapisho ya kutosha. Naona alinipotosha.

Aisee ishu ishakuwa ngumu.
Pole sana mkuu, siku zote anae kuambia ukweli anakupenda hata kama ni mchungu
 
Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Acha kumdanganya mwenzako, kana huna GPA ya 3.8 ya bachelor na GPA ya 4.0 masters sahau habari za kufundisha vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom