sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 940
- 3,616
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..
Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..
Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?
Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.