Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

We we soma PhD Kwanzaa men gone mbele kwa mbele
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.

Unayo maarifa yoyote unayoweza kufundisha? Unaweza kufundisha masomo kwenye mtandao. Bure au kwa hela. Wewe tu.
 
NAOMBA KUJUA MTU KAMA ANA GPA 3.3 akafanya postgraduate diploma akapata 3.9 ,anaweza kuruhusiwa kufundisha chuo kikuu
 
Kuna watu walikuwa na first class degree ya kwanza na ma TA, wakaenda kusoma master wakakosa GPA 4.0 wakapigwa chini au wanabadilishwa kazi. Bila 4.0 at master's level unapigwa chini.
Labda vyuo vya kata.

Nilishawahiona kuna jamaa alikuaga mnoko kweli, lilimfika hili
 
Pamoja na yote, kinachoangaliwa kwanza ni degree ya kwanza, hata ue profesor hautoweza kuajiriwa chuo kikuu kufundisha, kwa ninavyofahamu mimi.Kwanini usijikite kwenye vyuo vya ualimu wa diploma
Ajikite zaidi kwenye KUBET
 
Nadhan hii inadepend na degree uliosomea jaman...kuna course ni ngumu wakisema waangalie hvyo vigezo ni inakua sio fair...mfano 4.0 kwa engineering mbona kama hawawatendei haki

watu wanapata mpaka 5.0 we unashangaa 4
 
Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Acha kumdanganya mwenzio. Vigezo vya GPA ya 38 under graduate ana GPA ya 4.0 Masters ni vigezo vilivyowekwa na TCU na ni kwa nyuo vikuu vyote. huna hivo vigezo, huna sifa ya kuwa Tutor wala Assistant lecturer. La kuwa na PhD sina ufahamu nayo kama inafuta vigezo vya nyuma ama la!
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Basically Bachelor degree uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea, Master degree na PhD haijalishi, kikubwa uwe na connection pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basically Bachelor degree uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea, Master degree na PhD haijalishi, kikubwa uwe na connection pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha connection.. connection inakuja kama tayari una vigezo vya msingi aambavyo ni GPA..kumbuka saiv taarifa za wahadhiri wote hupelekwa TCU..
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.

Kwa hiyo GPA zako unapoteza muda. First degree inatakiwa isipungue 3.5 kwa baadhi ya vyuo na 3.8 kwa UDSM na baadhi ya vyuo. Masters kama sikosei ni 4.0.
 
Acheni ujinga vijana...
tapatalk_1576226158913.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • tapatalk_1578048157990.jpeg
    tapatalk_1578048157990.jpeg
    82 KB · Views: 14
Back
Top Bottom