Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Kuwa Tutorial assistant inataka GPA kuanzia ya 3.8 (kwa vyuo kama Mzumbe, UDSM), na kuwa Assistant lecturer inataka Masters ya GPA kuanzia 4.0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_5727.JPG

soma 5.1.4

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usimpe matumaini kijana wa watu.. Mwambie tu kuwa haiwezekan atafute issue nyengine
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Kagombee Ubunge Nangurukuru
 
Dah mkuu umenimaliza kabisa, maana nilitaka nicheze hii kama last card . Kuna mtu aliniambia ukiwa na phd ata kama hukufaulu sana uko nyuma aina shida ilimradi uwe na machapisho ya kutosha. Naona alinipotosha.

Aisee ishu ishakuwa ngumu.
Soma hiyo PhD kisha jikite kwenye utafiti,unalipa sana tu.
 
Kafundishe vyuo vya certificate na diploma ya ualimu.
 
Aisee wakuu ujue nimeanza kusoma kwanzia 1-110 sijaelewa kitu flani
Samahani kwanza najua Kuna watu hapa ukiuliza wanaanza kukosoa

Naomba ufafanuzi juu ya hivi vitu
1:- T.A
2:- AVN

Asante
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Hiyo course ya PhD ya Education Planning & Policies inatolewa chuo gani
 
Kigezo kwa vyuo vingi ili uwe mhadhiri ni uwe na angalau Ya kwanza 3.5 (udsm 3.8) ya pili 4.0. Vyote hivyo huna.

Naona umempa moyo, ukinitajia chuo kikuu cha umma wanachochukua GPA ya 3.5 kwa degree ya kwanza nafunga account yangu ya JF sasa hivi. Si udsm tu, vyuo vyote vikuu vya umma taratibu ni zilezile, first degree at least 3.8 na second degree at least 4.0.
 
Hakuna shida kabisa.
Zipo njia nyingi na rahisi kabisa kufikia malengo yako, inategemea na Chuo kikuu unachotaka kufanyia kazi. Kila chuo kina vigezo vyake, japokuwa vyuo vingi sana havisimamii hivyo vigezo vyao walivyoviweka. It is only formality.

Ushauri wangu ni, kwa kutumia hiyo hiyo Masters yako anza kwa kuwa Tutor au assistant Lecturer katika chuo chochote kikuu, hilo linawezekana, then kutokea hapo ndio iwe daraja la wewe kupiga PHD katika taasisi hizo hizo then Full lecturer. Wengi ndio wamefanya hivyo na sasa ni Lecturers.
Vyuo vingi vikuu vinakubali kuwa Lecturer ukiwa na PHD tu regardless una GPA ya ngapi katika Undergraduate yake.
Usimpotoshe...kama ni vyuo vikuu binafsi sawa lakini hivi vya umma, degree ya kwanza inaangaliwa zaidi, na nilazima angalau uwe na GPA ya 3.8! na kuna vyuo viwili (sivitaji) hata degree ya kwanza ya open university wanaitilia mashaka unapoomba kazi ya uhadhiri hata uwe na GPA ya 5.0!
 
Naona umempa moyo, ukinitajia chuo kikuu cha umma wanachochukua GPA ya 3.5 kwa degree ya kwanza nafunga account yangu ya JF sasa hivi. Si udsm tu, vyuo vyote vikuu vya umma taratibu ni zilezile, first degree at least 3.8 na second degree at least 4.0.

ACHA MBWEMBWE AUJAELEWA NN? PUNGUZA STRESS AYA MAMBO AYAITAJI HASIRA YANAITAJI UMAKIN NA KUJITUMATU
 
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..

Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks zangu kwa sasa haziruhusu kabisa.. Nina miaka 6 nafundisha na kama mnavyofahamu maisha ya ualimu wa sekondari ni magumu sana nilijaribu kubadili fani ila ajira zimekuwa ngumu sana. Kwa sasa nataka nibobee kwenye fani ya ualimu ila malengo niwe mwalimu wa chuo kikuu..

Kwa kuwa GPA yangu ya sasa hairuhusu nimeamua niombe kusoma PHD open university ili nipate vigezo. Nachoomba mnisaidie kunielewesha, je pass mark yangu ya nyuma itaendelea kunizuia ata kama nitapata PhD? Na ninataka nijikite kwenye education planing & policies au monitoring & evaluation mnanishaurije kwenye course pia?

Naombeni ushauri wenu najua penye wengi hakuaribiki kitu.
Hivi kumbe kupata first class degree ni ngumu,duh!
 
ACHA MBWEMBWE AUJAELEWA NN? PUNGUZA STRESS AYA MAMBO AYAITAJI HASIRA YANAITAJI UMAKIN NA KUJITUMATU
Aujaelewa = haujaelewa
NN = Nini
Aya = Haya
Ayaitaji = hayahitaji
Yanaitaji = Yanahitaji
Umakin = Umakini
Kujitumatu = Kujituma tu
Anza haraka kujituma Mkuu
 
Aujaelewa = haujaelewa
NN = Nini
Aya = Haya
Ayaitaji = hayahitaji
Yanaitaji = Yanahitaji
Umakin = Umakini
Kujitumatu = Kujituma tu
Anza haraka kujituma Mkuu

HAHAHAH bravo, thank you a lot brother for your correction i appreciate
 
Back
Top Bottom