Nataka kusema lakini wa kumwambia simpati

Nataka kusema lakini wa kumwambia simpati

kwani akiwa mwanaume ndo sio binadamu? Haumii? Hana moyo? Hana hisia? Nyie ndo mnapelekea wenzenu wajiue.

wewe unajuaje kama jambo lake ni dogo? Unajuaje kama shida yake ni mapenzi? Unaposema analia mbele ya wanaume wenzake unamaanisha nini?

Mwee Reina princess naomba tufanye yaishe.....:bange:

Hahahaaaa safi sana Reina!

Mwalimu wako apewe heko!

Umembana jamaa hadi kaomba po....teh teh teh
 
mayb ungesema kinachosababisha watu wakukimbie ni nn? kila kitu kina sababu..ukijua chanzo cha tatizo ni rahisi kupigana nalo..Mungu akutie nguvu
 
Hahahaaaa safi sana Reina!

Mwalimu wako apewe heko!

Umembana jamaa hadi kaomba po....teh teh teh

Kweli reina anastahil pongezi maana jamaa kaingiza mada ingine kwenye topic
 
Last edited by a moderator:
nijichunguze nini sasa?
Wakati ndio nimegundua ninaowahitaji hawanihitaji
Napata Mashaka, huenda
wanaokuhitaji huwahitaji na unaowahitaji hawakuhitaji, jitahidi kushikamana nao hao hao wanaokuhitaji mkuu.
 
Unalia kwa sababu gani?
Unahisi hauhitajiki?
Kwa maelezo yako hayo yote ni mawazo yako. Jaribu kufunguka kwa unayemhitaji na hata usiyemhitaji ili ujenge ijasiri afu utasahau kulia.
Jikaze wewe mwanaume halii..
 
Unalia kwa sababu gani?
Unahisi hauhitajiki?
Kwa maelezo yako hayo yote ni mawazo yako. Jaribu kufunguka kwa unayemhitaji na hata usiyemhitaji ili ujenge ijasiri afu utasahau kulia.
Jikaze wewe mwanaume halii..


Sawa mkuu nimekusikia
 
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo. Sijui mimi nimemkosea nini Mungu.

Naombeni ushauri.

Fata mambo yakoo omba Mungu akupe uzima,afya,na kipato chakoo
 
Sasa hiv nimeanza kuimba tenzi za rohoni kama mbatia alivomuambia Lowasa wimbo namba 116


Bwana u sehemu yangu rafiki yangu wewe, katika safari yangu nitatembea na wewe,
 
Back
Top Bottom