kazi nitafanya saa ngapi ndugu
kazi nitafanya saa ngapi ndugu
kama unawaza kufanya kazi basi wewe ujisikii kufa kufa!
kwani akiwa mwanaume ndo sio binadamu? Haumii? Hana moyo? Hana hisia? Nyie ndo mnapelekea wenzenu wajiue.***** mweleze huyo anatudhalilisha wanaume.... Shwain!!
Hakuna mtu aliyedhalilishwa kama umehisi hivo basi lakin post yangu hailengi kudhalilisha utu wa binaadam
kwani akiwa mwanaume ndo sio binadamu? Haumii? Hana moyo? Hana hisia? Nyie ndo mnapelekea wenzenu wajiue.
mwanaume gani unalialia kwa mambo kama haya ya kawaida sanaa.... Yaani kuishi kote huko hujaona mwanamke wa kupunzikia.....
Unatudhalilisha bana jaribu kuficha ujinga wako........mwanaume kamili hayuko hivyo!
sikatai kila binadamu ana hisia lakini mwanaume kama mwanaume anapaswa ku-act tofauti na mwanamke sio kulialia....tena mbele ya wanaume wenzako alaaah...!
He supposed to be a gentleman...! Kama atalia kwa jambo dogo kama hili je siku akichapiwa mke wake wa ndoa si ndo atachizika kabisaa...!
wewe ongea uhslisia wa jambo sio kuchanganya na hisia zako
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo. Sijui mimi nimemkosea nini Mungu.
Naombeni ushauri.
Sikatai kila binadamu ana hisia lakini mwanaume kama mwanaume anapaswa ku-act tofauti na mwanamke sio kulialia....tena mbele ya wanaume wenzako alaaah...!
he supposed to be a gentleman...! kama atalia kwa jambo dogo kama hili je siku akichapiwa mke wake wa ndoa si ndo atachizika kabisaa...!