Nataka kusema lakini wa kumwambia simpati

Nataka kusema lakini wa kumwambia simpati

M45, katika dunia hii utaishi mara moja tu na wewe umeteuliwa kuishi katika karne hii ya teknolojia.

Tafadhali usijipe mawazo ya kujiua na kujikosesha mauhondo ya dunia hii. Jitahidi tu na Mungu atakuwa pamoja nawe.

Futa delete kabisa hizo fikra za kufa kufa, piga moyo konde uendelee na maisha. Huwezi amini inawezekana kabisa kwamba Mwenyezi Mungu amekupangia mazuri katika dunia hii.
 
tutaanzisha jukwaa la wanawake soon:wink::wink::wink::wink:
 
Jipende kwanza ww tupia mitupio mikali kuwa na swagg ukishindwa tumia pesa
 
we utakua punga mwanaume hawezi kuja kutangaza huwa analia kwasababu hakuna anayempenda, unataka kusema hata wale wa kona bar nao wanakukataa?

***** mweleze huyo anatudhalilisha wanaume.... Shwain!!
 
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo. Sijui mimi nimemkosea nini Mungu.

Naombeni ushauri.

Yaani Wewe Sisi Kama Wachungaji Tunaomba Kila Cku Watu Waache Mabaya Wamrudie Mungu, Wache Mabaya Wamrudie Mungu, Wewe Ndio Unalilia Kuwa Mpumbavu?
Je,kwa Mawazo Hayo, Unadhani Unafaa Kuitwa Baba Au Mume?? Bado Sana.

Ebu Mkumbuke Muumba Wako Wakati Wa Ujana Wako Kabla Hazijaja Cku Zilzo Mbaya Kwa Jina La Yesu Kristo
 
we utakua punga mwanaume hawezi kuja kutangaza huwa analia kwasababu hakuna anayempenda, unataka kusema hata wale wa kona bar nao wanakukataa?

Ungeweza kukaa kimya mkuu maana uelewa wako umeishia kuwaza ngono kwamba ndio amani.

Sio hayo mkuu

Wakati mwingine tanguluza hekima na utulivu.
 
Yaani Wewe Sisi Kama Wachungaji Tunaomba Kila Cku Watu Waache Mabaya Wamrudie Mungu, Wache Mabaya Wamrudie Mungu, Wewe Ndio Unalilia Kuwa Mpumbavu?
Je,kwa Mawazo Hayo, Unadhani Unafaa Kuitwa Baba Au Mume?? Bado Sana.

Ebu Mkumbuke Muumba Wako Wakati Wa Ujana Wako Kabla Hazijaja Cku Zilzo Mbaya Kwa Jina La Yesu Kristo

Asante kwa ushauri
 
***** mweleze huyo anatudhalilisha wanaume.... Shwain!!

Hakuna mtu aliyedhalilishwa kama umehisi hivo basi lakin post yangu hailengi kudhalilisha utu wa binaadam
 
Uko wapi? Tembea kwa miguu Mpaka mkoa wa jirani na ulipo kisha rudi ulipo, fanya hivo kila siku ndg, furaha itakurudia
 
jipende kwanza ww tupia mitupio mikali kuwa na swagg ukishindwa tumia pesa

mpaka kufika hapa jukwaani inaonyesha ni jinsi gani najipenda kuhusu suala la pesa unataka nitumie kwa namna gan
 
ukimtegemea binadam utaumia

usiangalie kwanini hawakujali

tafuta kanisa au msikiti anza mahusiano na watumishi hao wa mungu pamoja na waumini wao

tafuta pesa mengine yote yatanyooka hata asie ndugu yako atasema ni binam yako

asante mkuu
 
pole ndugu yangu kwanza amini mungu hamtupi mja wake hali unayopitia ni ya muda mfupi tu. Mkristo maana yake mfuasi wa kristo yesu. Sasa kama yesu alikubali kutoa uhai wake ili mimi na wewe tukombolewe sembuse mtu wa kukusalimia/kumwambia yanayokusibu? Kwa mujibu wa wataalamu wa saikolojia kumwambia mtu mwingine kile kinachokusibu ni hatua mojawapo ya wewe kuondoa/punguza stress. Please kama hautojali karibu

asante mkuu labda uniambie huo msaada wa kisaikolojia naupataje kwa arusha
 
Back
Top Bottom