UmemalizaUsijaribu hali mbaya kuliko ilivokua hapo awali
Huduma kama Tpesa, Esim, voacher havipatikani
System zao zinaoekana ziko weak sana, matapeli wengi wanatumia line za TTCL
kuhusu vocha kutopatikana hii nayo kwa sasa mwaka 2026 naona sio hoja yenye mashiko. kwani still watu mnanunua vocha dukani? 🤔Usijaribu hali mbaya kuliko ilivokua hapo awali
Huduma kama Tpesa, Esim, voacher havipatikani
System zao zinaoekana ziko weak sana, matapeli wengi wanatumia line za TTCL
Wateja wakubwa wa ttcl, ni wamasai wa huko handeni, assume mtu ana line ya ttcl tuu, yuko kijijini, kumbuka huduma za Tpesa hazifanyi kazi sasa ikikosekana vocha za kukwangua hapo ana survive vpkuhusu vocha kutopatikana hii nayo kwa sasa mwaka 2026 naona sio hoja yenye mashiko. kwani still watu mnanunua vocha dukani? 🤔
2= tuSajili tu na uendelee ku21002. Gen z mmoja aliniandikia hiyo 21002 na nyingne ati 2O8 hadi leo kesi mahakama zote zimekataa kutoa hukumu.
acha wee. Anyway asante kwa kunifafanulia2= tu
100=tumia
2 = tu
21002 = tumia tu
2=tu
O=O
8=nane
2O8 = tuonane
Ipo vizuri kwenye kudownload vitu vikubwasafi. internet vipi?
na mtandao kiujumla? upo kijijini au mjini?Ipo vizuri kwenye kudownload vitu vikubwa
Kama unatumia kawaida inaisha kutokana na matumiz
Kama Ume download kitu Gb2 itaisha kutokana na na size fasta.
Unaangalia Tiktok ipo fasta kuisha na kutumia.
Kama kitu hakitumii sana mb
Haina shida.
Kuhus dakika unaweka dakika utaambiwa kiasi. Kuisha hadi mwakani kama hautumii
Kinaishia kutokana na matumiz.
Mfano nimeweka dakika 100 nikaacha hadi mwez ujao nitazikuta
Kote unashikana mtandao kiujumla? upo kijijini au mjini?
Kila akicomment anamtaghivi huyo mahondaw anawapa nini?