Nataka kuokoka lakini sitaki niache pombe

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
212
25
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?
 
Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
180
Hahaha kaka very simple, unywee nyumbani usiende baa haitaleta picha nzuri ukienda bar.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,337
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?

Nenda kanisa alilookoka nalo Dr Remmy (RIP), maana yeye aliokoka na kuendelea na bangi zake kama kawa.
 
kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
280
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?

Mtukwao, Hongera sana kwanza kwa nia ya kuokoka, Ukijaza roho mtakatifu yote yanawezekana, sidhani tu kama pombe inaweza kukufanya ukose ufalme wa mbinguni. Ukifanyiwa maombi na wewe ukamweleza Mungu shida yako ukimanisha yote yatawezekana. ninakuombea sana kwa MUNGu uli uweze kumshinda shetani.
 
jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,956
1,346
wewe okoka tu ..then endelea kunywa pombe ..huku ukiendelea kushuhudia washikaji zako mkikutana club na ukiendelea kujifunza mafundisho ya kukulia wokou..baada ya miezi kama 2 utajikuta umeacha mwenyewe bila ya mtu yoyote kukwambia..
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,435
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?
Tafuta maana harisi ya neno kuokoka, then Okoka, na uendelee kunywa pombe lakini usitende mambo mabaya, na jitahidi kupiga goti kuomba usije ukatenda dhambi iwapo utalewa kwa bahati mbaya. usisahau kuto 10% ya kipato chako. Huo ndo mtazamo wangu
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,375
6,996
Okoka,...ila kunywa pombe kwa ajili ya tumbo lako mkuu_kuacha kabisa noooooooooooma
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,640
4,177
Hahaha kaka very simple, unywee nyumbani usiende baa haitaleta picha nzuri ukienda bar.

Kweli kabisa mkuu kwasababu kunywa pombe si dhambi, dhambi ni kulewa na pia ukinywea bar kidogo utapata vikwazo kwa kuwa kuna majaribu mengi lakini kama utakaa nyumbani na kupiga tuchupa twako tuwili na ukalala atakaye sema umetenda dhambi huyo ndio atakuwa ana dhambi mwenyewe.
 
Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
212
25
Mtukwao, Hongera sana kwanza kwa nia ya kuokoka, Ukijaza roho mtakatifu yote yanawezekana, sidhani tu kama pombe inaweza kukufanya ukose ufalme wa mbinguni. Ukifanyiwa maombi na wewe ukamweleza Mungu shida yako ukimanisha yote yatawezekana. ninakuombea sana kwa MUNGu uli uweze kumshinda shetani.
<br />thnx ithnk it is a gud idea
<br />
 
King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,800
24,544
mutukwao, hongera kwa nia ya kuokoka. kuokoka ni kumkiri yesu kuwa bwana na mwokozi wako,period! mengine yote tunaambiwa amani ya kristo iamue ndani yako.hebu okoka kwanza,afu hayo mengine mtamalizana na mungu moyoni mwako,ni kweli utashangaa taratibu unakosa interest ya vitu visivyompendeza.na usipange jinsi utakavyokua manake kazi ya kuokoa ni ya kwake,hujiokoi. tunasoma 'kwa maana mnaokolewa kwa neema,kwa njia ya imani'.kazi yako ni kuamini,mengine atakushughulikia mwenyewe.
 
Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,275
271
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?

Hapo kwenye red: yaani mkuu kama pombe ndio inakufanya kujisikia mtu basi unatatizo kubwa sana kichwani, nakushauri kaonane na psychologist kwanza kabla ya kukimbilia kuokoka. Okoka utakaporudi kwenye akili zako timamu.
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,247
814
Okoka then ukijazwa roho mtakatifu pombe utaacha automatically!
 
Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
212
25
Hapo kwenye red: yaani mkuu kama pombe ndio inakufanya kujisikia mtu basi unatatizo kubwa sana kichwani, nakushauri kaonane na psychologist kwanza kabla ya kukimbilia kuokoka. Okoka utakaporudi kwenye akili zako timamu.
<br />saikolojikaly niko fiti mzee.bt thnx 4ua advice i might try it
<br />
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,895
3,393
mkuu nini hasa kilichokufanya utake kuokaoka,nafikiri shetani anajaribu kukuonyesha jinsi pombe ilivyo tamu
 
Ngoiva Lewanga

Senior Member
Aug 19, 2011
160
19
We kula vitu bwana, cha kuangalia tu, ni kutorudisha chenje, usiwatukane watu wa kuwa kero kwa familia yako.
Swali: Vipi vitu vingine kama bangi na skirt, havijakuteka??
 
zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
849
220
Jamani naombeni ushaur wa kiroho.mimi natamani kuokoka lakini kila nikitafakir kuacha pombe naona kama nakosa kitu kikibwa sana ktk maisha yangu ambacho ndicho kinachonipaga kujiskia mtu hapa duniani.wht shal i do?

Ndugu, mwili wako ni Hekalu la Roho Mtakatifu, kwa maana kwamba anakaa ndani mwako ambako unatakiwa pawe safi, sasa usiuchafue!
Imagine, umemwaga pombe chumbani mwako ambako kunanuka sana, utaweza kulala? Think twice! Ubarikiwe na Mungu akusaidie kufanya MAAMUZI MAGUMU!
 
Aine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,604
487
Kwanza nakupa hongera kwa kuwa na wazo la kutaka kuokoka, wewe okoka kwanza kisha muone mchungaji kuhusu kuacha pombe atakusaidia kwa ushauri na maombi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom