Iammoshyn
Senior Member
- Nov 2, 2019
- 157
- 224
๐๐๐๐๐๐Naona unataka kuchafuu koo za watu ambazo wamezienzi vizazi kwa vizazi
๐๐๐๐๐๐Naona unataka kuchafuu koo za watu ambazo wamezienzi vizazi kwa vizazi
Shemeji wapi njaa zinamsumbua tu huyo.Nakuombea na hongera shemeji yake Mo
huyo naye pimbi cha muhimu ni kwamba una hela tuKuna binti mmoja mtoto wa Waziri fulani...
Nilimtongoza ...
Nkamwambia malengo yangu nae...
Jibu alilonipa baba yako na baba yangu wakikaa pamoja watazungumza nini Cha maaana.
Kuoa au kuwa?
Kuna binti mmoja mtoto wa Waziri fulani...
Nilimtongoza ...
Nkamwambia malengo yangu nae...
Jibu alilonipa baba yako na baba yangu wakikaa pamoja watazungumza nini Cha maaana.





Mbona Lukuvi kachafua Abood.Naona unataka kuchafuu koo za watu ambazo wamezienzi vizazi kwa vizazi


Huyo rahisi ร100 mtongozo wako utavyokuwa deep tu au utavyoonesha u serious...Mimi nataka kumuoa yule mtoto wa Obama Malia sijui anaitwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Am working on it hiyo ni dating au second meeting ndio inaweza kuwa huko nita propose first place sehemu ya kawaida sitaki niitaje atani Spot.Uko vizuri mkuu!maana unaweza kuambiwa meeting point ya kwanza ni kwenye moja wapo ya kumbi za Hyatt Regency...
Lukuvi amefanyajeMbona Lukuvi kachafua Abood.
Hahaha...umenifanya nicheke sana kamanda pamoja na huzuni hii ya JPMDaa kweli mapenzi upofu,demu ni flat screen sijawahi ona!,ila sio mbaya jamaa utakuwa unachezea unywele usinga ,sie wenzako twachezea wowowo![]()