Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,921
Kaaa humo ni Malia..huyo Maria ni wenu wa kikatoliki huko...🤣🤣🤣Malia = Maria
Kaaa humo ni Malia..huyo Maria ni wenu wa kikatoliki huko...🤣🤣🤣Malia = Maria



,Dah!!!. noma sana.Ukihitaji mshenga niko hapa, nina uzoefu wa kutosha, suti na moka maridadi kabisa. Na kuhusu bargaining mi ndio bingwa unaweza pewa mke bureWadau Salam
Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.
Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.
Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.
Nawasilisha