The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hivi huyu huwa mnamuelewa?Hakuna mambo ya kuoa oa hapaa...!!!




Hivi huyu huwa mnamuelewa?Hakuna mambo ya kuoa oa hapaa...!!!




Kweli aisee. Hata Watoto huwa wanasimama kando ya barabara kisha kila gari linalopita wao wanashindana kuliwahi eti hilo gari langu hilo!.Maskini bhana huwa tunawazaga mambo mengi sana ambayo hata hayawezi tokea kabisa katika maisha yetu najua nia yako ni kuondokana na ufukara tu si lingine hapo
Wote ni wake za watuNi binti wa Kihindi yule, huwa wanachumbiwa na wahindi wenzao.
Labda ungemuwazia yule CEO wa Timu ya Simba, nae anafaafaa akijipodoa huwa ananoga sana.
Malengo yake yashatimia, na yeye anatafuta mtu ambaye kishatimiza malengo.Wadau Salam
Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.
Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.
Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.
Nawasilisha
Kuwa Mke wa mtu haizuii kitu. Sikuhizi watu hawatishiki na pete za ndoa, ukiwa na sera nzuri tu mdomoni unaachiwa mzigo.Wote ni wake za watu
Nani anataka kujichanganya na Ndondocha?Wadau Salam
Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.
Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.
Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.
Nawasilisha
Msizwa-styleKuwa Mke wa mtu haizuii kitu. Sikuhizi watu hawatishiki na pete za ndoa, ukiwa na sera nzuri tu mdomoni unaachiwa mzigo.
Alichokosea mtoa mada ni kutaka kuoa kabisa, ili Mo aje kumuita shemeji.
Yani huu umaskini utakuna kutumalizaKweli aisee. Hata Watoto huwa wanasimama kando ya barabara kisha kila gari linalopita wao wanashindana kuliwahi eti hilo gari langu hilo!.
Ni sawa na huyu anaetamani visivyo saiz yake.
Mkuu tusikutie moyo wewe malizana naye kwenye picha mziki una wenyewe ule huwezi kumuoa ulisikia wapi?/ bora angekuwa mzungu muhindi sahau kabisa mzee babaAtabadiri msimamo niki deliver what I hold withing
Duh...Kuna binti mmoja mtoto wa Waziri fulani...
Nilimtongoza ...
Nkamwambia malengo yangu nae...
Jibu alilonipa baba yako na baba yangu wakikaa pamoja watazungumza nini Cha maaana.
Mkuu tupe mrejesho.Atabadiri msimamo niki deliver what I hold withing
Dm kurespond ni ngumu sana wengi sana Wana mzingusWatu kama wale kawaida wanapokea DM nyingi per day
Sasa mzee passport tu hauna utamuoaje malia obama....🤣🤣🤣🤣Mimi nataka kumuoa yule mtoto wa Obama Malia sijui anaitwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sasa mzee passport tu hauna utamuoaje malia obama....![]()
Huyo dem kolo sana huyo sasa huyo dingi ake leo bado waziri ama...?Kuna binti mmoja mtoto wa Waziri fulani...
Nilimtongoza ...
Nkamwambia malengo yangu nae...
Jibu alilonipa baba yako na baba yangu wakikaa pamoja watazungumza nini Cha maaana.