Nataka kuoa Dada wa Mo Dewji (Fatma Dewji)

Nataka kuoa Dada wa Mo Dewji (Fatma Dewji)

Ni binti wa Kihindi yule, huwa wanachumbiwa na wahindi wenzao.

Labda ungemuwazia yule CEO wa Timu ya Simba, nae anafaafaa akijipodoa huwa ananoga sana.
Labda Kama anataka ugomvi na muddy
 
Wadau Salam

Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.

Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.

Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.

Nawasilisha
Huku haingiagi unafeli sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Dada uwa ana invent z kufundisha biashara jitose kweny zile invent utampa ila anakinyaa n ngozi nyeusi
 
Wadau Salam

Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.

Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.

Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.

Nawasilisha
fanya ku google kwanza mkuu 🚶‍♂️ 🚶‍♂️ 🚶‍♂️
 
Ni binti wa Kihindi yule, huwa wanachumbiwa na wahindi wenzao.

Labda ungemuwazia yule CEO wa Timu ya Simba, nae anafaafaa akijipodoa huwa ananoga sana.
Waziri gani?

Hawa wa kutukanwa na jiwe au wa zamani?

Maana kama hawa waliotukanwa na Jiwe hana cha kuringia.
 
Maskini bhana huwa tunawazaga mambo mengi sana ambayo hata hayawezi tokea kabisa katika maisha yetu najua nia yako ni kuondokana na ufukara tu si lingine hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom