Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
asante Mr bean, utajulishwanimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
asante Mr bean, utajulishwanimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
Unanijal had najihis kama napaawe ndio boss wangu kama sijakusikiliza wewe nani mwingine?
Mungu wangunimeandika na kufuta zaidi ya mara 3 its hard to me answer those questions Acha ibaki kuwa siri yetu
asante kwa ku-appriciate, mapenzi ni sanaa na kama umependa kuwa kama mimi na madame (my baby) you have to be msanii and all stuffs like that
ningejibu swali la 3 but limepata jibu zuri zaidi thanks 🙂🙂
the only thing i want you to know thatNAMPENDA MKE WANGU
Ahahahhaha me nafrah tuasante Mr bean, utajulishwa
Alinishangaza anataka kuoa na muolewaj kapo, nikasema heeHakuna muoaji hapa.
Hahahhahaa et uko available tutakunyima mwaliko maksudi sasa, anyway asante sana sana, endelea kujifunza tu alipo Archduke na mie niponimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
what babyMungu wangu
Alwaystupo 🙂🙂
Maneno yako yananifanya najisikia furaha iliyopitiliza honeywhat baby
kama mapachaAlways
Mmmhhh jmnHapana
Hakika, how was your day babe?kama mapacha
Nn tenaMmmhhh jmn
nataka unenepe my luvManeno yako yananifanya najisikia furaha iliyopitiliza honey
Ntatisha mpenzi hivihivi namaintain,nataka unenepe my luv
Ahahahaa jamani nan anawaringishia sasa?? Tusamehe bureHahahaha Moyo wangu tulia tena utulizane hasa humu Jf kuna VYA watu usije nitia masahibuni maana si unaona mwenyewe tunavyoringishiwa?Usijali moyo wangu km ipo ipo tu hii ID yetu ya maumivu ipo siku itakuwa historia,
Bachelor mwenzangu piga moyo konde na Allah akujaalie na kukuongoza umpate mwenye kheri na ww.Aamin ya rabbi.
nataka unenepe my luv
Kama kawaida yangu....Ntatisha mpenzi hivihivi namaintain,
Ahahahahahhaha yan nacheka kwa nguvu hata bila kujali kama ishakua usiku punguza bas jaman had naona hayaKama kawaida yangu....