Nataka kuoa baada ya Ramadhan

Nataka kuoa baada ya Ramadhan

Mwanamke ni kama bati usipoligongea misumari imara utalikuta kwa jirani usilaumu kimbunga.............

Tunza mkeo. Shauri yako
 
Ahahahahahhaha yan nacheka kwa nguvu hata bila kujali kama ishakua usiku punguza bas jaman had naona haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu notification zako sizipati sijui kwa nini, narejea kwa bahati nikiuona uzi niliochangia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[Halafu notification zako sizipati sijui kwa nini, narejea kwa bahati nikiuona uzi niliochangia
Ahahahahahhahah yan hiki kibarua ulichonacho ni balaa
 
Ahahahahahhahah yan hiki kibarua ulichonacho ni balaa
Hunitakii mema mimi mpenzi mtazamaji, kwa nini sipati notification zako....

Au umeniiginoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hunitakii mema mimi mpenzi mtazamaji, kwa nini sipati notification zako....

Au umeniiginoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wallhi sjakuignoo kabisa naona jf imeamua tu kukubania hilo
 
Back
Top Bottom