Nataka kuoa baada ya Ramadhan

Nataka kuoa baada ya Ramadhan

No,it's not! The guy is trying to look into opportunities, you could listen to him mkuu (there is no harm). Ila samahani kama nitakukera Madam S
Nimejibu kutokea ndan ya moyo, of course niko kwenye relationship, tena a serious one, relax hata hujanikera kabisa
 
Hongera mkuu naufanikishe kwani maari saivi imefika kiasi gani au bado inagonga Milioni moja na nusu? Nauliza tu
 
Hamjambo wadau,

Naam kama kichwa cha habari kinavyosema,

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu nyingi tofauti, ila ni jambo jema sana kuoa.

Niombeeni dua.


Usifanye hivyo ni dhambi. Oa wakati wa ramadhani then mfungo ukiisha toa talaka.
 
Hamjambo wadau,

Naam kama kichwa cha habari kinavyosema,

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu nyingi tofauti, ila ni jambo jema sana kuoa.

Niombeeni dua.


Sikia usikurupuke kuoa baada ya ramadhani, oa sasa ili upikiwe na ramadhani ikiisha toa talaka kisha rudia uhuni wako.
 
Back
Top Bottom