Inshallahdoh, haikua rizki yangu kumbe .
bado sijapata, ila kila kitu huanza na nia. nimeweka nia tayari.
sasa naanza step inayofata ya kutafuta.
Nishirikishe unachocheka kwa kweli
Mimi naendelea kukazia tu wala usijaliNishirikishe unachocheka kwa kweli
Hahahahahhha jamaniMimi naendelea kukazia tu wala usijali
Bas usinicheke sana jamani
Wewe yako liniHaya inshaallah ndugu yangu, mwenyezi mungu akufanyie wepesi.
Hili jibu silipendUnataka kuoa mtu wa kuoa huna kumbe??? Umechelewa nimewahiwa
Sasa me nifanye nini?? Sina namna ya kukusaidia kwa hiloHili jibu silipend
Mhmadame S unaishi dar?