Nataka kuoa baada ya Ramadhan

Nataka kuoa baada ya Ramadhan

KUOA/KUOLEWA NOW DAYS AMNA TOFAUTI NA KU BET APO KUNA PROS AND CONS,BILA SHAKA UMESHIRIKISHA AKILI,ROHO NA MWILI JUU SWALA HILI
 
Thats my man
nimeipenda relationship yenu kati yako na achiduke .. naomba kujifunza haya

1. uhusiano wenu una muda gani?

2. mlikutana wapi? yaani kujuana mwanzo kabisa ilikua wapi

3. upo tayari kula bullet za kifua kwa ajili ya achiduke ?
 
Namba tatu nitajibu mengine atakuja kumalizia Archduke

Of course sio kula bullets za kifua kwa ajili ake hata kujump in front of a train for him

Na kufanya vile ambavo nitafanya kumfanya atabasam kwa ajili ake

In short nimejitoa na ninajitoa kwa ajili yake
 
nimeandika na kufuta zaidi ya mara 3 its hard to me answer those questions Acha ibaki kuwa siri yetu

asante kwa ku-appriciate, mapenzi ni sanaa na kama umependa kuwa kama mimi na madame (my baby) you have to be msanii and all stuffs like that

ningejibu swali la 3 but limepata jibu zuri zaidi thanks 🙂🙂

the only thing i want you to know that NAMPENDA MKE WANGU
 
wewe ni mwanamke wa maisha yangu

graph yetu haishuki
 
nimeandika na kufuta zaidi ya mara 3 its hard to me answer those questions Acha ibaki kuwa siri yetu

asante kwa ku-appriciate, mapenzi ni sanaa na kama umependa kuwa kama mimi na madame (my baby) you have to be msanii and all stuffs like that

ningejibu swali la 3 but limepata jibu zuri zaidi thanks 🙂🙂

the only thing i want you to know that NAMPENDA MKE WANGU
Na hiki n sababu ya why nakupenda , sababu unanisikiliza na kutii

nimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
 
Back
Top Bottom