Nataka kununua Land Rover Discovery

Nataka kununua Land Rover Discovery

Nimeshauri tu kwa nia njema na sijasema pesa haipo, zingatia neno uchumi wa kati.

Hizi gari na hawa mafundi wetu unawezakujikuta unawajua mafundi wote Sar na bado gari inasumbua.

Hapo umeshapoteza pesa ya kununua gari nyingine. Toyota hata kama dashboard imetapakaa alerts ila bado itakusogeza mahali unaenda, hizi gari kabila nyingine uvumilivu huo hazina, umeme mwingi na sensor za kutosha, hapo haujagusa bei ya spare.

Uko salama lakini?
Burudani kabisa
 
Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030
Nashukuru kwa ushauri wazo ni Discovery 4
 
Wauzaji wa parts Tanzania kwa magari ya Ulaya wanauza bei za juu sana muda mwingine bei inazidi mara mbili bei ya kununulia..
Na hilo ndio tatizo letu nafikiri ningekuwa mfanyabiashara wa spare parts basi ningekuwa wa kipekee kwa kuuza affordable price maana naona wazambia wanaunua brand nyingi tuu sisi Bado Toyota sana nafikiri hiyo ndio sababu unawaza kusubiria spares
 
Na hilo ndio tatizo letu nafikiri ningekuwa mfanyabiashara wa spare parts basi ningekuwa wa kipekee kwa kuuza affordable price maana naona wazambia wanaunua brand nyingi tuu sisi Bado Toyota sana nafikiri hiyo ndio sababu unawaza kusubiria spares
Hata hivyo parts tunaleta kwa bei nzuri inategemeana na muuzaji..
 
Kama uchumi wa kati, nakushauri ununue Toyota tu mambo yasiwe mengi.

Mshana Jr ananielwa vizuri nnachomaanisha.
Mkuu mnaposema Toyota mnaanisha nini maana nina engine za Toyota hapa nabeba kwa ajili ya kwenda kupachika kwenye magari yaliyoua Engine huko Tanzania, ila hizi pick up bei zake za vipuri na Ford ni mtu na mjomba ake..
 
Back
Top Bottom