Nataka kununua Land Rover Discovery

Nataka kununua Land Rover Discovery

Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030
Hiyo land Rover mpaka bongo bei gani
 
Back
Top Bottom