Nataka kununua kiwanja Zanzibar

Nataka kununua kiwanja Zanzibar

Zanzibar bado haijajaa bhana, umewahi kufika, Dunga, Mpapa, Uzini, Mitakawani, Mtule, Charawe, Ukongoroni, Bungi, Kibele, Jedele Kisakaka, Mkorongo, Bubwisudi, Dole, Miwani, nk nk, kote huko nyumba za kuhesabu,
Zanzibar kujaa itachukua muda mrefu sana
Mipori ilojaa kuanzia tu hapo Ruvu hamjaimaliza mnataka mkajazane kwenye kijikisiwa kiduchu kinachotegemea utalii,

Huu ubinafsi ni wa kiwango cha Epstein
 
Back
Top Bottom