fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,718
- 7,400
Ndio mpaka sasa nakimiliki,niliweka msingi tu ila nalipa kodi zote za ardhi.Bado una kimiliki.?
Ndio mpaka sasa nakimiliki,niliweka msingi tu ila nalipa kodi zote za ardhi.Bado una kimiliki.?
Tukubali tukatae Nyerere na waliofuata hawakuwatendea haki Watanganyika.Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Nauzur hicho kitambulisho unaweza nunua ukifika bei na haizd 50k, Sasa hapo shida ipo wapi?
Huku makunduchi vipo viwanjaHatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Ndio. Ila Mtanganyika kununua kule Zanzibar ni mpaka uwe ni Mzanzibari mkaziMzenji anaruhusiwa kununua ardhi Tanganyika?
Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Yaani ni kama CHETU CHAO,CHAO CHAO...ila huko mbeleni tuendako, ni GIZATukubali tukatae Nyerere na waliofuata hawakuwatendea haki Watanganyika.
1. Ili umiliki kiwanja au shamba Zanzibar sharti uwe mzawa au Mzanzibari mkaazi mwenye sifa, uwe na Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi,
2. Kama hauna ID ya Mzanzibari Mkaazi utalazimika kukodishwa hiyo Ardhi kama ambavyo wawekezaji wa kigeni wanakodishwa.
NB;
Mzanzibari kumiliki ardhi Tanganyika hakuna masharti.
Je Tanganyika ina wanasheria wenye weledi kweli?
Je Tanganyika ina wanasheria wazalendo kweli?
Kama m bara kumiliki kiwanja znz ni kipengere, ingekuwa ni rahisi znz ingejaa.Mimi ni mtu wa mkoani sio zanzibar, ILA NAJUA INAWEZEKANA MAANA WA ZANZIBAR PIA WANANUNUA SANA MAENEO BARA
Ulishawahi kufika Znz?Tukubali tukatae Nyerere na waliofuata hawakuwatendea haki Watanganyika.
1. Ili umiliki kiwanja au shamba Zanzibar sharti uwe mzawa au Mzanzibari mkaazi mwenye sifa, uwe na Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi,
2. Kama hauna ID ya Mzanzibari Mkaazi utalazimika kukodishwa hiyo Ardhi kama ambavyo wawekezaji wa kigeni wanakodishwa.
NB;
Mzanzibari kumiliki ardhi Tanganyika hakuna masharti.
Je Tanganyika ina wanasheria wenye weledi kweli?
Je Tanganyika ina wanasheria wazalendo kweli?
Mimi ni mtanzania, zanzibar sio tanzania? Nina NIDAUna kitambulisho cha ukazi Zanzibar?
Hatari sanaZenji wapo tayar kumuuzia ardhi msudani au mkenya lakin siyo mtanganyika, ukitaka kununua labda umtumie mwenyej yeye ndiye aonekane anainunua ila ni mbaya siku mkija kubadilikiana.
Zanzibar bado haijajaa bhana, umewahi kufika, Dunga, Mpapa, Uzini, Mitakawani, Mtule, Charawe, Ukongoroni, Bungi, Kibele, Jedele Kisakaka, Mkorongo, Bubwisudi, Dole, Miwani, nk nk, kote huko nyumba za kuhesabu,Ulishawahi kufika Znz?
Kile kisehemu kilivyo kidogo waruhusu wasukuma na waluguru mkajazane hapo kisiwa si kitatumbukia jamani,
Hebu tupumzisheni na nyie, Bagamoyo hampawezi sembuse Znz
Cha msingi muungano uwe wa fair pande zote, mtanganyika akienda kufanya kazi Zanzibar makato ya mfuko wa Jamii hapati, anaambiwa hadi atakapostaafu miaka 55 ya hiari au 60 ndio apate, na ukiangalia ni sekta binafsi mikataba yao haielewiki,Yaani ni kama CHETU CHAO,CHAO CHAO...ila huko mbeleni tuendako, ni GIZA