Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,997
- 7,551
Kwani wewe ni muislamu? Kama sio thubutu ndo utajua kwamba Nyerere ndo alie jipendekeza kwa ZanzibarNimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni nchi yetu sote. Vinginevyo muungano wetu utakuwa na tatizo la kiufundi.
Mimi sio muislamu, umenikumbusha inabidi nipate na kiwanja cha kanisa huko.Kwani wewe ni muislamu? Kama sio thubutu ndo utajua kwamba Nyerere ndo alie jipendekeza kwa Zanzibar
Tukatae huu ujinga.Penye wakristo muislamu anaishi freshi lakini penye waislamu mkristo ni mtihani kuishi.
Ndo jinsi ilivyo, wala usiende huko utaenda kuteseka.Tukatae huu ujinga.
Darul s salaam(dar es salaam) ni mji wa waislam,na una jina la kiarabu,nyerere alipoacha ualimu na kujiunga na siasa,waislam wakampa nyumba magomeni na kuhudumia familia yake mpaka aliposhika hatamu,wakiristo wengi wa dar walipanga majumba ya waislam kabla ya kujenga yao,unaposema penye waislam mkiristu kuishi shida unamaanisha nini!?..jaji agustino ramadhani ni mkiristu wa zanzibarPenye wakristo muislamu anaishi freshi lakini penye waislamu mkristo ni mtihani kuishi.
Aggrey Morris,beki wa stars na Azam kwao zanzibarNdo jinsi ilivyo, wala usiende huko utaenda kuteseka.
Ataishi lakini kwa mateso sana.Aggrey Morris,beki wa stars na Azam kwao zanzibar
Mateso gani!?..toa teso moja analopitiaAtaishi lakini kwa mateso sana.
Mzaliwa wa Songea, mkoani Ruvuma. Alienda Zanzibar baada ya baba yake kuhamishiwa huko kikazi na wakalowea hukoAggrey Morris,beki wa stars na Azam kwao zanzibar
Watu wa visiwani kwa kawaida ni walowezi,kwa zbar wanatokea tanganyika,Moroni,shelisheli,comoroMzaliwa wa Songea, mkoani Ruvuma. Alienda Zanzibar baada ya baba yake kuhamishiwa huko kikazi na wakalowea huko
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa SanaDarul s salaam(dar es salaam) ni mji wa waislam,na una jina la kiarabu,nyerere alipoacha ualimu na kujiunga na siasa,waislam wakampa nyumba magomeni na kuhudumia familia yake mpaka aliposhika hatamu,wakiristo wengi wa dar walipanga majumba ya waislam kabla ya kujenga yao,unaposema penye waislam mkiristu kuishi shida unamaanisha nini!?..jaji agustino ramadhani ni mkiristu wa zanzibar
Idris abdulwakil,rais wa Zanzibar aliingia kanisani kujionea makanisa yanajaa kiasi gani jumapili..unaishi Zanzibar mji gani!?Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Sema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamuWaislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Waislam wa bara wanatofauti kubwa na waislam wa Zanzibar kwenye mambo yaki jamii hasa kwenye kushiriki mambo yaki jamiiSema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamu
Ulishawahi kwenda yakakukuta haya unayosema?Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Acha uongo kijana. Uongo sio dili.Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana