Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Wakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.