Nataka kununua gari

Nataka kununua gari

Kwa million kumi kaka?
Jaribu kuzunguka wawezankupata lkn imeshaumia!
 
Rav4 mpya kwa milion 10 hata ile ya zamani hupati
 
Hapa Jirani kwangu ipo Audi A4 8Million nzuri kweli kweli ni hal tu ndio imebana ndio maana bei zinakuwa ndogo ukilinganisha na bizaa yenyewe.....usishangae boss......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom