Nataka kununua gari

Wakuu habari zenu

Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.

Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.

Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,

ahsanten nasubir mchango wenu.
U must be kidding yan Rav 4 new model umeweka budget ya mil.10......mkuu andaa mil.60 hapo ndio utapata hii gari
9f452cb930a19e5d6168d0adb196568d.jpg
96d7a86ad440ab08a6f2acee3f34ca83.jpg
 
Wakuu habari zenu

Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.

Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.

Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,

ahsanten nasubir mchango wenu.
kumbe unataka ......taka
 
kweli haupo dar, mil. 10 ununue rav4 new model? hata hiyo old model unaweza usipate
 
japokuwa umesema hupendi madalali mi ni dalali ntakusaidia Rav 4 new model mpya huwezi pata kwa hiyo bei ila noah utapata nakushauli chukua noah ya dhamani old model ya mwaka 1998/99 , rav 4 new model ni 24m lakini unaweza pata hata kwa 15m iliyotumika hapa na number c au b .
noah usije jaribu kuchukua vox utalia asante kwa mahitaji ya gari nione 0657145555.
Sawa mkuu nitakutafuta namba yko ninayo.
 
Jana nimetoka kuangalia sbtjapani hiyo gari ushuru wa kuitoa bandarini ni kama dola 6,000/= hapo bado hujainunua yani CIF yake ni kama 6125 ukijumlisha takataka zote unapata kama milioni 30 a usheee....
Hata mimi naipenda hiyo gari ila kwa usawa huu ngoja niendelee kudandia mwendokasi...
 
km unahitaji gari rav4 kwa bei hiyo ni ngumu mkuu labda useme unahitaji gari aina ist, raum, march, opa hizo sawa kw bei hiyo njoo kwenye yard yetu ipo nyerere road uangalie upendayo au niPM kwa maelezo zaidi
 
Wakuu habari zenu

Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.

Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.

Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,

ahsanten nasubir mchango wenu.
Kila la kheri Mkuu ila hiyo pesa kama uongeze kidogo aisee
 
km unahitaji gari rav4 kwa bei hiyo ni ngumu mkuu labda useme unahitaji gari aina ist, raum, march, opa hizo sawa kw bei hiyo njoo kwenye yard yetu ipo nyerere road uangalie upendayo au niPM kwa maelezo zaidi
Hivi kuna tofauti gani kubwa ya kuagiza gari nje na kununua kwenye Yard.(Ubora na Gharama)
 
Mil 10 rav4 new model sidhani kama utapata, hiyo hela ist, raum huko....ila kuwa makini na matapeli usije kurudi unalia hapa.
 
Wakuu habari zenu

Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.

Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.

Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,

ahsanten nasubir mchango wenu.
Ni ngumu kupata Rav 4 model mpya kwa bei hiyo, hasa kwa bonded warehouse za Dar. Labda ungeanzia 18 kwenda juu.
 
km unahitaji gari rav4 kwa bei hiyo ni ngumu mkuu labda useme unahitaji gari aina ist, raum, march, opa hizo sawa kw bei hiyo njoo kwenye yard yetu ipo nyerere road uangalie upendayo au niPM kwa maelezo zaidi
mkuu mna Harrier old model ya cc 2160?
 
japokuwa umesema hupendi madalali mi ni dalali ntakusaidia Rav 4 new model mpya huwezi pata kwa hiyo bei ila noah utapata nakushauli chukua noah ya dhamani old model ya mwaka 1998/99 , rav 4 new model ni 24m lakini unaweza pata hata kwa 15m iliyotumika hapa na number c au b .
noah usije jaribu kuchukua vox utalia asante kwa mahitaji ya gari nione 0657145555.
Voxy zina shida gan mkuu make mm nimenunua voxy half ni 4well
 
Km uchumi simzr sana achana na new model jipanga ongeza pesa kanunue Rv4 old model hyo ndogar utazeeka utawaachia wajukuu nao watumie .
 
Back
Top Bottom