Nataka kumuacha mke wangu

Nataka kumuacha mke wangu

tatizo ndiyo kujiamninisha tabia hubadilika .. mimi nasema nitaamini mlima utahama siyo tabia ya mtu aisee.... kama nikiona tabia siwezi ivumilia nasepa fasta wala sijuulizi kuja kufa nikiwa mdogo kisa likitu limelelewa au limejiweka hivyo nani anataka.....
huyu lazima kaoa umbo kudadeki analo

Umeona eeh..inaitwa kuoa 'head turners'...shurti nikitokea mbele za marafiki zangu watu waseme naam..bro kavuta kitu. Kumbe kiuhalisia kavutwa yeye...
 
baada ya talaka oa tabia .. achana na kuangalia makalio makubwa nyonyo sijui mguuu .. tafuta mwanamke anayejielewa .. sahurilo utapiga talaka mpaka ukome

Mh Asante kwa huu ushauri japo na yeye wakati wa uchumba hakua na tatizo la kum-disqualify, ila baada ya miezi kadhaa ndani ya nyumba akaota mapembe
 
Umeona eeh..inaitwa kuoa 'head turners'...shurti nikitokea mbele za marafiki zangu watu waseme naam..bro kavuta kitu. Kumbe kiuhalisia kavutwa yeye...

ha ha ha kumbe kavuta shetwain.. alafu kuna wanawake hawaachiki wabishi
 
Mh Asante kwa huu ushauri japo na yeye wakati wa uchumba hakua na tatizo la kum-disqualify, ila baada ya miezi kadhaa ndani ya nyumba akaota mapembe

lazima utikise kiberiti wakati wa uchumba wewe vipi? kuna binadamu wengine tukikasirika lazima tuanakula nyama ya mtu lazima ufanye jaribio... muhimu oa tabia
 
Wapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...

Matokeo yake mume anaona akajipumzishe kimadani angalau apate amani kidogo.
Otherwise.... heart attack itamuhusu.
 
Huo utovu wa nidhamu baadhi (mwingi ) nimeuona mwenyewe
Mhusika nimemuuliza na kujibu kwa jeuri
Alienda kwetu kwasababu wazazi wake walikataa asiende kwao
Yeye mwenyewe hakupenda kwenda ukweni na hakukua na option nyingine.
Hakuna alishauri talaka isipokua ni maamuzi ninayotaka kuyafanya mwenyewe

Mkuu
Ukisha mtaliki utaoa tena(angalie usiruke majivu ukakanyaga moto). Mkuu wazuri hawajazaliwa!!!.
Hatujawekewa wazi utovu wa nidhamu alofanya. Ila kwa mtizamo wa harakaharaka naona kinacho wasumbua ni huu mfumo dume wa wafrica wengi ambao humchukulia mke kama chombo(tool).
 
Think twice,,hivo vituko alivofanya uliviona ww au uliambiwa na nduguzo?,na km alifanya unajua au umegundua alifanya kwa nn,maana anaeza kuwa alikuwa anajibu mapigo,kaa nae muulize ujue shida ni nn,na km ni ndoa ya kidini usikurupuke kumuacha,mambo mengine humalizwa kwa kuongea,ila kwanza tujuze hvo visa uliviona mwenyewe?,maana wakati mwingine mama zetu na ndg zetu huwa syo ishu wngn ni washari sn kwa wake za waototo wao
 
Yaani wewe hufai kuwa mume kabisa. Ulimuolea mama yako mke au mke ni wenu wote ukweni? Hayo ni manyanyaso ya kiafrika umempa mimba mkeo mlee mkeo mwenyewe... Utaoa mara nyingi sana wewe
 
Miss chagga utavunja mbavu zangu 😀😀😀😀😀😀
 
Wapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...
mkwe ni km mzazi
sidhani km akikosea njia sahihi ni kumtukana au kumjibisha jeuri
mi jamani nnavyomheshimu yule mama na nduguze
hapana huyo mdada hana adabu
 
Kulingana na eneo nnalo ishi, kituo kinachotoa huduma za afya hakihudumii akina mama wanao jifungua mtoto wa kwanza na watano na kuendelea, hivyo ikalazimu kupelekwa sehemu nyingine ambako mm nilipendekeza kwao kwa mama yake ambako ni mkoani, kuna hospitali kubwa....wazazi wake walikataa kwa hoja ya mila haziruhusu, ndipo nili poamua kumpeleka nyumbani kwetu ambako pia ni mkoani.
nenda kamchukue mkeo rafiki, huyo wako sio wa familia...
 
Mkuu Fedora
Sijaoa lakini ninachojua hao watu wawili hawachangamani (mke na mama mkwe). Kwanza katika hali ya ujauzito mke alihitaji matunzo na wajawazito huwa wanamabadiliko ambayo hata mume hukasirika sembuse mama mkwe ambaye hajui utamu wake??
Fikiri kabla hujaamua, huo udhaifu ulitakiwa kuujua kabla hujamuoa na uukubali kwamba utaweza kuuvumilia na hautakusumbua sasa wewe kama uliangalia tako ndio matatizo hayo. Wewe ndio umekosea sio yeye kaa nae mvumilie na tako si analo?
 
Think twice,,hivo vituko alivofanya uliviona ww au uliambiwa na nduguzo?,na km alifanya unajua au umegundua alifanya kwa nn,maana anaeza kuwa alikuwa anajibu mapigo,kaa nae muulize ujue shida ni nn,na km ni ndoa ya kidini usikurupuke kumuacha,mambo mengine humalizwa kwa kuongea,ila kwanza tujuze hvo visa uliviona mwenyewe?,maana wakati mwingine mama zetu na ndg zetu huwa syo ishu wngn ni washari sn kwa wake za waototo wao

Nimetamani nikupe likes 10 hivi. Umesema vzr sana
 
Hahahaaaaaaa hata huyu wangu kuna siku aliniambia "usithubutu kuniacha utakiona cha mtema kuni" hahahahahaaaaa miss chaga big 5

wanajijua hawawezi ishi na mtu kwa hiyo wanachokifanya ni kuwaganda walioingia mkingi kama wewe
 
Huo utovu wa nidhamu baadhi (mwingi ) nimeuona mwenyewe
Mhusika nimemuuliza na kujibu kwa jeuri
Alienda kwetu kwasababu wazazi wake walikataa asiende kwao
Yeye mwenyewe hakupenda kwenda ukweni na hakukua na option nyingine.
Hakuna alishauri talaka isipokua ni maamuzi ninayotaka kuyafanya mwenyewe

kwa nin hakubaki nyumban...hayo mambo ya mtu kujifungua na kwenda kwa wazaz cjui wakwe.....ni kukwepa majukumu kama baba
 
Back
Top Bottom