MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,009
- 35,009
kichanga atanyonyesha beki tatu????
Labda ndio malengo
kichanga atanyonyesha beki tatu????
Jamani mleta uzi naona ana point. It's so difficult and shameful to live with a wife that doesn't respect the woman who brought you to this world!
Jamani kuna wanawake hawana adabu na heshima! Huyu bwana anasema mkewe ni mara yake ya kwanza kuishi na mama yake. Si conclude kuwa mama yake jamaa Hana mapungufu, labda ndio mshari. Lakini kimaadili mkamwana/mwilima kumjibu hovyo/kumtusi mzazi wa mwenza wake ni KOSA KUBWA SANA KWA TAMADUNI ZETU!
USHAURI WANGU:
1-Angalia mkeo anajutia vipi makosa yake. Kuna wengine akili zao dakika tatu mbele, kutenda kosa haoni na hajali hata kujutia/kutubu haoni maana!
2-Tafakari mtazamo wa mama yako KWA mkeo. JE ANACHUKULIAJE TATIZO LA MKEO? Yupo tayari kusamehe na kusahau?
3-Kaeni kikao cha familia zote mbili kujadili tabia ya mkeo.
[/B]
mkuu yaani uitishe kikao cha kujatili tabia za mkeo.....utakuwa hujitambui wewe.... kama ww mwenyewe umemkanya hakusikia, atasikia la vikao....jamaa yuko sahihi ila kubwa hapo ni MTOTO - kichanga....
nenda jukwaa la sheria...
nyie mnaosema hatuolewi wanaume wenyewe ndo hawa.??
Wataulizaje mlango wa kutoka wakati wanadhani ndoa ni paradise?
USHAURI WANGU:
1-Angalia mkeo anajutia vipi makosa yake. Kuna wengine akili zao dakika tatu mbele, kutenda kosa haoni na hajali hata kujutia/kutubu haoni maana!
2-Tafakari mtazamo wa mama yako KWA mkeo. JE ANACHUKULIAJE TATIZO LA MKEO? Yupo tayari kusamehe na kusahau?
3-Kaeni kikao cha familia zote mbili kujadili tabia ya mkeo.
Mkuu STOP !! Niwieradhi kakangu... Kimantiki wewe ndo umekosea !!! Hebu jirudi utafakari vipi umpeleke kwenu ktk uzazi?
alafu Mama ni mtu mzima huwa ana misongo yake binafsi! Obviosly picha haztoenda vizuri hapo!! Na wakati huohuo Mke yupo mwezi wake wa mwisho...So lazima patakuwepo taharuki za kike!! Think wise,twice!!
Badala hata ya kutuainishia huo utovu wa nidham tujue tunakusaidiaje unakimbia kuacha tuuu sasa utawaacha wangap na angalia na background ya bi mkubwa wako coz wengne huwa watata mmo.
Na pia unaweza kuta hakumwelewa mwanamke wako toka umemwoa dat y hvyo so chunguza usikurupuke
kwanini hukubaki nawe wewe....?sio mantiki yoyote hapa eti kawakosea adabu kwenu, je umemuuliza tatizo nini...?Asante kwa ushauri wako lakini nilimpeleka kwetu baada ya wazazi wake kunikatalia kwa kusema mila haziruhusu. Pia ujinga alioufanya huko hata kwangu alishafanya na nikamkataza lkn hakusikia