Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

i appreciate!!!!!!!!! ila nataka wangu peke yangu

mammy labda umchonge mwenyewe kisha umfungie asitoke nje but kikubwa ni kuomba aliye na hofu ya Mungu na anayekupenda, kukujali na kukuheshimu, hata akiwa anaiba kidogo anafanya kwa siri na hutakaa ukajua anaiba, but they are all from the same father tabia zao moja ila wanatofautiana vipimo vya matamanio yao 🙂
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

N
ahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
Hapo kwenye red ndo shida sana maana sasa najua kilakitu kinaweza kuwa legelege mpaka kwenye 6x6.Lakini usijali wapo wengi sna utapata muulize Bebii alipata wangapi?Najua anauzoefu naye alitafuta kupitia JF
 
habari ya masiku...............masai amekata kamba pole sana ...........kumpata wakwako mwenyewe labda umtengeneze
 
Mpwa nini tena jamani? Inaonesha upo kwenye PANIC kubwa sana....carry it slow please Mary!!! Kwanza kumbuka kosa kubwa watu wanalofanya katika mahusiano ni kuamini kwamba YOU CAN BUY LOVE! Please usijjinngize katika kosa hilo!! Jambo la pili na muhimu ni CHECKING FOR COMPATIBILITY BEFORE GETTING FULLY COMMITTED TO A NEW LOVE!!! Please Mary cool down otherwise utaishia kuteseka milele katika mapenzi.

In addition, muweke MUNGU mbele katika jambo hili...hakika atakupa spouse mzuri sana tena mwenye pato lake zuri tu mpwa!
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
 
usisahau kutengeneza na makufuli spesho ya kumfunga
 
Yaani kati ya watu wa JF naotamani kuwaona wewe ni wa kwanza maana una mambo weye msichana hata sikuwezi dah!!!

Nikija AR nitakutafuta rasimi aisee yaani hata nimekosa cha kuongea
poa best!!!!!!
sio kwamba nina mambo bali huwa naishi full life apa JF
Unajua kuna mambo flani hudhubutu kumweleza akujuaye physically na mahala pekee pa kuomba ushauri ni hapa JF
 
it is better you make a short descstion as why two men did withstand you.i doubt you may be the source of the problem or you pround yourself for your income.if you are not the source you have to be honest god conscious, one day you will be happy.
wa kwanza nimeeleza kwa nini tuliachana
mmasai bado nipo naye ila ananisumbua
kamuulize mkeo alikuwa na wangapi kabla ya kuwa na wewe?
 
kwani lazima uwe na mwanaume?

Bebii sikiliza u can av every thing in this world but ukawa unahisi kama uko incomplete fulani hivi a man will fill dat gap, just an intimate person to share private moments, a shoulder to cry on, a arm to hold u to give u assuarance that ever thing will be cool! Nilijaribu single life kama mwaka hivi , having girls out na kuwa na fun ya kila aina lakini in quite night at beaches i felt something is missing a manly hand to hold me under the stars! So I went for out of my character man who sees me like a treasure nusu ya kipato changu, Engineer age mate! life is swt than ever although kazi za nje hajaacha, kitu muhimu ni company, respect.
 
mammy labda umchonge mwenyewe kisha umfungie asitoke nje but kikubwa ni kuomba aliye na hofu ya Mungu na anayekupenda, kukujali na kukuheshimu, hata akiwa anaiba kidogo anafanya kwa siri na hutakaa ukajua anaiba, but they are all from the same father tabia zao moja ila wanatofautiana vipimo vya matamanio yao 🙂
naanza kukubali kushare kidogo kidogo ila mwenzenu naumia sana
 
Bebii sikiliza u can av every thing in this world but ukawa unahisi kama uko incomplete fulani hivi a man will fill dat gap, just an intimate person to share private moments, a shoulder to cry on, a arm to hold u to give u assuarance that ever thing will be cool! Nilijaribu single life kama mwaka hivi , having girls out na kuwa na fun ya kila aina lakini in quite night at beaches i felt something is missing a manly hand to hold me under the stars! So I went for out of my character man who sees me like a treasure nusu ya kipato changu, Engineer age mate! life is swt than ever although kazi za nje hajaacha, kitu muhimu ni company, respect.

ndo zipi hizo ama kukadiria majengo?
 
habari ya masiku...............masai amekata kamba pole sana ...........kumpata wakwako mwenyewe labda umtengeneze
mimi mzima niliwamiss sana JF
INABIDI NIKUBALI KUSHARE MANAKE MMASAI NAMPENDA SNA NA NDIO HIVYO NAONA WA KWANGU PEKE YANGU HAMNA
 
Ha ha ha ha sharing is caring!!!!!!!!!!!!

Leo kwenye hii thread naona hujajificha maana nakumbuka moja ulikimbia mbali:msela:
 
mpwa nini tena jamani? Inaonesha upo kwenye panic kubwa sana....carry it slow please mary!!! Kwanza kumbuka kosa kubwa watu wanalofanya katika mahusiano ni kuamini kwamba you can buy love! Please usijjinngize katika kosa hilo!! Jambo la pili na muhimu ni checking for compatibility before getting fully committed to a new love!!! Please mary cool down otherwise utaishia kuteseka milele katika mapenzi.

In addition, muweke mungu mbele katika jambo hili...hakika atakupa spouse mzuri sana tena mwenye pato lake zuri tu mpwa!
offcourse nimepanic sana as sikutarajia kushare hata siku mmoja
muhimu bado nakomaa mpaka mke mwenzangu aamue kuondoka kwa mbinu yeyote
 
usisahau kutengeneza na makufuli spesho ya kumfunga
nauzuri wote huu na wewe unakubali kushare???????
avatar25452_3.gif
 
Bebii sikiliza u can av every thing in this world but ukawa unahisi kama uko incomplete fulani hivi a man will fill dat gap, just an intimate person to share private moments, a shoulder to cry on, a arm to hold u to give u assuarance that ever thing will be cool! Nilijaribu single life kama mwaka hivi , having girls out na kuwa na fun ya kila aina lakini in quite night at beaches i felt something is missing a manly hand to hold me under the stars! So I went for out of my character man who sees me like a treasure nusu ya kipato changu, Engineer age mate! life is swt than ever although kazi za nje hajaacha, kitu muhimu ni company, respect.
be blessed!!!!!!!!!!
 
offcourse nimepanic sana as sikutarajia kushare hata siku mmoja
muhimu bado nakomaa mpaka mke mwenzangu aamue kuondoka kwa mbinu yeyote
sasa martina unataka kuvunja payslip kununua mwanaume umekosa hata wa kukufanya nyumba ndogo? ni pm nikufowadie ninao kibao siwataki
 
Back
Top Bottom