Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

For sure sahau. Just imagine wapo! I real life hawapo. A reflection of ur life.

Wapo wa kwako peke yako believe it ila sasa kila siku ni jumatatu! Si sawa kucheat ila macheater ni good lovers 6*6 na nje! As normal dhambi inasuta so he will justify his actions by treating his lady good, hii si universal formula plz ila most of cheater wako hivyo. A man whom I thought he never cheated on me, full of maconfidence na ubabe kiaina, siku tulipogongewa mlango mid night na a woman alivyokuwa mdogo na kuanza oooh baby, swt, I am so.......! I enjoyed nice care for years akidhani mm bado nakumbuka ile incidence!

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
Dada yangu duniani hakuna amani ya kweli na kama una taka duniaani uwe na amani ya kweli kabisa mwachie Yesu maisha yako, nakuhakikishia kabisa hauta pata shida hata kidogo, utampata aliyeamua kuachana na wamasai na wa rangi akamuachia Yesu maisha yake anaburudika kwa Yesu, akikupata wewe basi maisha yatakuwa burudani, lkn usitumie pesa yako kama siraha ya kumpata mwanaume atakae kufaa, kwani mume mwema atoka kwa bwana na mke mwema pia ataka Mbinguni kwa baba,
lkn zaidi ya yote, naomba mnikaribishe mwenzenu naipendaga nyumba hii ya watu wenye busara, japo leo ndo nimeingia nasema HODI?

awe wako peke yako katika nini? kama ni ktk penzi unaweza pata. kama ni ktk ngono hilo huwezi pata.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
Pole kwa yaliokukuta. Humu JF wote hawajachoka maana wanamudu mambo mengi. Na ukimpata humu ukue atakusumbua kwa kua atakua akiingia lile jukwaa la MMU.
Huko ni balaa akiwa ameomba access ya mambo ya kikubwa ndio balaa unalo!
Labda utuambie unatutuma tukutafutie ambao wapo wapo?
Maana wapo wengi mitaani wanatafuta hilo zali. Na maisha yalivyo mbona utamdhibiti tu!

H
@arusha,baba mngoni, mama mchagga.

Wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni america naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: Ikiwa ntaachika ntatafuta man asiyemsomi,not handsome, mwenye robo ya kipato changu,aliyevusha umri wa kuoa, ethnical man

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini arusha awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
Haya Mwanakwetu!

Kweli watanzania bado sana. 630,000/= ni kipato cha kujisifu kweli?.
630,000/30= 21,000 kwa siku.
21,000/60= 3000 kwa saa.
Kipato chako kinakutosha kununua vipodozi vyako tu. Pole kwa mawazo mgando kama hayo.

.pole mary,nahisi mateso yako,lol!ungekuwa unataka wa kukutuliza ningejitolea maana wangu pia ananizingua sana

Kweli watanzania bado sana. 630,000/= ni kipato cha kujisifu kweli?.
630,000/30= 21,000 kwa siku.
21,000/60= 3000 kwa saa.
Kipato chako kinakutosha kununua vipodozi vyako tu. Pole kwa mawazo mgando kama hayo.

tatizo unatumia masaburi kuanalyse

wapi umesoma nimejisifia kwa mia 6?
hivi mia 6 ni hela ya kujisifia? i was just letting JF wajue namna ntakavyokabiliana na makali ya kuhudumia mwanaume na tena nikasema awe wa USWAHILINI kuonesha uchache wa hela niliyonayo.
Mingurubangi inakusumbua

Mh, we mdada, sijui kama ni mdada kweli au zuga tu??!!! Nadhani hauko serious. Hivi unawezaje kusema mambo kama hayo kuwa unataka mwanaume legelege na utakayemdhibiti halafu utegemee aje kweli. Hakuna mwanaume anayependa kudhibitiwa. Hilo sahau. Sanasana atakuja mtu atakupiga ngozi atasepa. Pole

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 20th January 2011
Posts : 3,071

Rep Power : 29
lengo ni Posts : 10000 karibu unazifikia mdada ongeza juhudi ......... kwa thread kama hizi zitafika tu..

halatito umekriet kuachika wakat mshikaji hajasema kama amekuacha,haya useme utafute akirudi?fikiria vizuri kabla, punguza papara ndugu yangu,kwa haraka hiyo utaishia kuumizwa tu.TAKE A TIME

Mh, we mdada, sijui kama ni mdada kweli au zuga tu??!!! Nadhani hauko serious. Hivi unawezaje kusema mambo kama hayo kuwa unataka mwanaume legelege na utakayemdhibiti halafu utegemee aje kweli. Hakuna mwanaume anayependa kudhibitiwa. Hilo sahau. Sanasana atakuja mtu atakupiga ngozi atasepa. Pole
Wapo kibao kitaa

Back
Top Bottom