Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Bebii sikiliza u can av every thing in this world but ukawa unahisi kama uko incomplete fulani hivi a man will fill dat gap, just an intimate person to share private moments, a shoulder to cry on, a arm to hold u to give u assuarance that ever thing will be cool! Nilijaribu single life kama mwaka hivi , having girls out na kuwa na fun ya kila aina lakini in quite night at beaches i felt something is missing a manly hand to hold me under the stars! So I went for out of my character man who sees me like a treasure nusu ya kipato changu, Engineer age mate! life is swt than ever although kazi za nje hajaacha, kitu muhimu ni company, respect.
according to u
 
Ha ha ha ha sharing is caring!!!!!!!!!!!!

Leo kwenye hii thread naona hujajificha maana nakumbuka moja ulikimbia mbali:msela:
sasa nimegundua ni mimi tu nisiyekubali kushare
kumbe wenzangu hili mlishalikubali
loh!!ngoja nimpigie mupenzi haraka
 
sasa martina unataka kuvunja payslip kununua mwanaume umekosa hata wa kukufanya nyumba ndogo? ni pm nikufowadie ninao kibao siwataki
mwenzangu kuwa nyumba ndogo siwezi kabisaaaaaaa bora nilee wa kwangu au kwa sasa nimeanza kukubali kuwa nyumba kubwa as inaonekana wanaume wanavilaana flaniflani
 
naweza na hata sasa naishi bila mwanaume and life is soo sweet
naona wewe unaleta utani wakati mwenzio naumia kuibiwa
mbona mwanzoni uliniambia wewe ni nyumba ndogokwa wanaume kadhaa???
 
masharobaro siwataki
pia sitaki machalii wa ARUSHA
nataka kula kulala wa hapo dar nimlee

Naomba unileee mimi mgumu wa wagumu lakini natumia mtandao wa tiGo express your self
 
naona wewe unaleta utani wakati mwenzio naumia kuibiwa
mbona mwanzoni uliniambia wewe ni nyumba ndogokwa wanaume kadhaa???
mimi sio nyumba ndogo bwana aaah sina dhiki hizo
 
Hapa hapa naweza pata mchumba kati ya bebii na Marytina
inategemea ukoje kama unataka kuishi kwa kulelewa na net ya 650000 martina kama unalaka kulea mwanzo mwisho hata maji ya kunywa hununuliwi bebii
 
Bado hujapata wa kukidh haja yako. nimekwambia njoo kwangu uwe mke wapili na huo mshahara wako uweke benk uje kusomeshea watoto 2takao zaa ondoa shaka. ila sifa ya legelege sina napenda kazi zaidi
 
inategemea ukoje kama unataka kuishi kwa kulelewa na net ya 650000 martina kama unalaka kulea mwanzo mwisho hata maji ya kunywa hununuliwi bebii

kwako bebii kila kitu juu yangu ila kwa Marytina yeye anataka kunifuga na hiyo kilo 6
 
Back
Top Bottom