Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,524
Mary nina umri wa 45 yrs, mfupi wa kukinai, mweusi tii, uzito 50kg, bolded, mshahara Tsh.1,000,000/-, nina watoto 02 mama tofauti wote mabazazi, sina mke, msomi wa shahada ya sayansi ya uzamili (MSc) toka chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo, nimejenga kibanda cha kujihifadhi na mengine mengi mazuri.
Vp nakufaa BABE? Nijuze nichangamkie zabuni hiyo.
Vp nakufaa BABE? Nijuze nichangamkie zabuni hiyo.