Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Mmmh!! We ninja tu huna lolote'kaa kimya wako wa ukweli atakuja mwenyewe wa kununua cyo wazuri'nna wasiwasi utakuwa haulipi ndio maana hata ukiwanunua bdo wanakimbia'nenda kanisani uko utawapata.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

apo kwenye kumnunua si utamtesa ningetaman kuwa mim bt naofia umri!

mwanaume haongozwi na pesa ni mapenzi ya dhati kama ukitanguliza pesa atakuja mwenye nazo zaidi yako,mama yangu alishaniambia kila mtu atakuwa namwenzi wake na wewe wako yupo be patient my dear.

Kwanza, pole sana dada yangu.Ushauri wangu usiwe na mawazo ya kuwa juu ya mwenzio ktk mahusiano.
Pili, mwanaume legelege hatakufaa! Usiwe mwoga kukabiliana na matukio, Pambana na kila linalojitokezaa mbele.
Tatu, jitambue wewe ,kaa chini ubainishe mapunufu yako halafu uyafanyie kazi. Ukishajitambua amani itakuwepo.

pole husiwe na haraka marytina ,msubiri atakuja yule wako uliyepangiwa na mola,ongeza sala ili mungu akuletee,ok?hawa watakaojitokeza hawatakuwa wakweli hata kidogo,kila la kheri

Mi naona nijitole bure fanya tutafutane kwani hata mie nipo a town maana naona umeshaumizwa sana ................

Dada fanya mpango nafasi hiyo nipe mimi nipo singo na sijawai kufika arusha sasa kama poa poa tuuu nakuja kukupa kitu roho inapenda top top.....wewe peke yako nakuaidi wewe na wanajf wote humu ndani......cv mimi ni mtaaramu wa mahaba.
Elimu ya mahaba:nina digrii toka chuo cha mahaba zanzibari....
Langi majiyakunde urefu wangu futi sita na nchi mbili......ni pm kwa mawasiliano zaidi

umeshapata?

Mie naweza kuwa shamba boy Vs house girl.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Kipato changu kwa mwez minimum USD 5000 mie Mnyaki 27 yrs. Can't I fit u?

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Marytina, pole sana kwa kuumizwa ila usjali yawezekana ukawa uko darasani unajifunza quality za mwanaume anayestaili kuwa mume.

Usishangae sana kuona umemwagwa na watatu, ukajisusa. Say BIG NO. kamwe usijisuse, wewe ni mtoto wa kike, binti mzuri tena unaweza kujitafutia maisha. usilogwe ukasema unatafuta mwanaume mtoto wa mama, atakusumbua sana. Iko hivi wewe umesahau kuwa heri kumfhili mbuzi mwanadamu hutomuweza? huyo naye itafika siku atataka awe juu yako tu. Kwani anaweza akakwambia mafano sijiskii kufanya tendo la ndoa mezi miwili inapita jeutamlazimisha? au ndo utamtoa nje na nguo zake aende kwao?

binafsi mimi nilikuwa napenda kuolewa na mwanaume ambaye ni gentleman ambaye akisema sauti yake huwa ni moja tu, na lazima isikiwe kuwa baba kasema. ianpendeza mume awe ni wanaume anayejua wajibu wake, anayeweza kukaripia, mahali panapohitaji kukaripiwa na anayeweza kuonya panapo stahili kuonya. sipend mwanaume wa kumwaga misifa tu ukikosea in real hawezi akatoa tamko kama baba, ambaye sauti yake ndani ya nyumba hata mtoto haiogopi. Huyu huwa ni mzigo sana kwako mama kwani siku zote utakuwa ni mtu wa kuwajuu kuliko baba, kiasi kwamba hata ukisema kitu mbele ya wanawake wenzio kinaonekana hakina mantiki.

kwa kiwango cha net salary yako tafuta wanaume ambaye atakupa challenge za maisha, ambaye mtaweza kuendelea, ambaye hawi chini ya mamlaka yako bali wewe uwe chini ya mamlaka yake.Lets be realistic a man is a man.

mwanamke unatakiwa uwe pole wenye busara nahekima ya kumpenda mume hata watu wengine, mwenye maaarifa ya kumshauri mume. Kumbuka mwanaume yeyote anayeonekana anaongea point mbele za watu wengi wao hayo maujanja wanayapata kwa wake zao, lke wise wanawake pia.

usipende tabia za moshi na arusha za wanamke kuwa mbabe, kisa ana hela manake kama hela ilikuwa na thamani sana kwanini huiambia ikuoe? lazima bwana uwe na madaha ya kidada, akikuboa mmoja jua siyo wote, tulia jipange upya ili upate mwanaume wingine mzuri.

ushauri, give yourself a break. kisha angalia katika folder zako kati ya walio sign in yupi anameet criteria zako? na je anafuture? kuijua future inategemea na criteria zako ulizo kuwa umepanga. anaye meet asilimia kubwa bai huyo can make a good husband

By all the parameters-gfsonwin have some priceless points! Martyina should read between the lines! Mungu alikuwa na makusudi maalumu kumuumba mwanamke kwa ajili ya mwanamume & there is no one who can change that divine purpose! Huwezi kumlinda mwanamume kwa vijisenti vyako pia usifanye fedha/uchumi kuwa msingi wa mahusiano yako,uchumi unayumba kila dakika iendayo kwa Muumba...materials things come & go but then utu wa mtu ni kitu cha msingi!

Marytina natamani hata namimi ningelizaliwa arusha ujue tayari ningekua nimefika hapo!da nanyege sina wa kumpanda

Oh pole! Rafiki ts beta ukaumia now ili ucheke baadae with time bt kwa what ua doing naona kama they'll keep on hurting u,watakufuata coz u have money lakini wasikupende. Hiyo ni changamoto ua facing,nakushauri jua tatizo kabla ya kujump ktk solution. Mi naamini kuna Good Boys still. Hata mi am 1 of em lkn everythin goes with time. Kuwa mvumilivu,u yourself be good na omba Mungu. God gives good for good i.e u have to be good to receive good or the best.

Back
Top Bottom