Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

Ha ha haaaaa imekula kwako,Wa wp huyo?Kyela,tukuyu,kiwira kwa mwankenja,masoko,Tenende,Kambasegele,Lwanga,Mbambo,Nsitu,Mbambo,Itete,kanga,Nselya,Mbugani!Wa wp huyo muulize ndo tutajua cfa zake

Miss Strong, kwenye comma weka space ili tuweze kukariri vizuri huo msitu wa vijiji na kata za kwenu!
 
niangusage!!!!!wanapenda sana hadi mashemeji kama wakitaka wanasaidiwa ru
 
Acha kamba wewe! Richard Kasesela ni mwajiriwa sio mjasiriamali....
 
kwa kweli ni majasiri sana, hebu ongezea hawa:
Gen. Davis Mwamunyange, Dr. A.J nsekela, jaji of H.C Mwakasendo, jaji R. Mwaikasu, Hon. Prof. Mwaikusa, Hon. Prof D. Mwakyusa, R.C wa Ruvuma dr. Mwambungu, aliekuwa RPC Moro then Arusha Insp. T. Andengenye, mch. Dr. Mwakasege.
Ni wasomi, wapenda haki na wapole! Kwenye mapenzi wana wivu wa kutosha.
 
malaya wa kutupwa, amini usiamini nisemayo...wanyakusa wanaume kwa wanawake wote huwa na pepo la ngono....wanaume huwa hawakati magovi kabisa...sawa tu na wahaya na wasukuma....mimi nimeishi mbeya, nimeoa mbeya pia.
 
kwa hiyo mkeo malaya?
 
gwajima ni mkurya wewe, amezaliwa Tarime, hadi kwao nakufahamu.....mwulize mtu yeyote...au kwasababu ana mchungaji wake mmoja pale ambaye ni mnyakyusa?
 
kwa hiyo mkeo malaya?
mke wangu si mnyakyusa pamoja na kwamba amezaliwa mbeya mjini, wazazi wake walikuwa wanafanya kazi pale...na mimi nilipohamia kikazi pale nikakutana naye, tukaendeleza hadi kuoana....miaka mingi imepita.....nilimkuta bikira.....namheshimu kupita maelezo.
 
gwajima ni mkurya wewe, amezaliwa Tarime, hadi kwao nakufahamu.....mwulize mtu yeyote...au kwasababu ana mchungaji wake mmoja pale ambaye ni mnyakyusa?

nime edit mkuu, nikipata jina la yule msaidizi wake nitareplace! Proudly nyakyusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…