Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 236
Aza, sorry kama nimekukwaza, manake unajua mtu
Hute usafi au uchafu kwa mtu ni hulka,sasa kama hii miradi ya wazungu ya kukata magovi na mnapolipwa izo dolali ndo mdharau na kushambulia watu na magovi ni kituko kwakweli.ndo mana mie natetea sana kwani kuwa na govi sio kilema wala uchafu wala ugonjwa ndo mana mtoto wa kiume anazaliwa akiwa na govi!!lingekua ni uchafu basi wanaume wasingeumbwa nayo
pili,,,govi ni utamaduni wa kabila za watu na pia aliyekwambia wanaume wenye magovi hawana wapenzi,wake na watoto na ni marijali kama wengine tu???ndo mana nao wana wapenzi na watoto
so acha zako bwana!ni katika kukubaliana kutokukubaliana boss
Last edited by a moderator: