Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

ladywho

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
107
Reaction score
49
Kichwa cha khabari chajieleza..karibuni kwa michango yenyu bhana
 
hizi threads sasa zinaboa

mnyakyusa kazaliwa dar,mbeya anaenda kusalimia..

mnyakyusa kazaliwa London kaja TZ ana miaka 18....

mnyakyusa kazaliwa na mama mzaramo na kalelewa kisiju kwa wajomba zake

mnyakyusa kazaliwa Tanga ambapo baba na mama yake waliishi kikazi

mnyakyusa kasoma Kenya from Primary to University........

get it now?
 
mie ni mwanamme wa kinyakyusa, nikusaidieje?
 
hizi threads sasa zinaboa

mnyakyusa kazaliwa dar,mbeya anaenda kusalimia..

mnyakyusa kazaliwa London kaja TZ ana miaka 18....

mnyakyusa kazaliwa na mama mzaramo na kalelewa kisiju kwa wajomba zake

mnyakyusa kazaliwa Tanga ambapo baba na mama yake waliishi kikazi

mnyakyusa kasoma Kenya from Primary to University........

get it now?

2liza munkari khakha! Hzo get it now sizo ntakazo....nataka zile zingine zileee!
 
The Boss hata mimi siwaelewi hawa wanaoulizia sifa za watu kwa muktadha wa makabila..
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kupata kitu kinaitwa 'mwanaume wa kinyakyusa' au 'mwanamke wa kipare'
Huyu mnyakyusa aweza kuwa mkiristo au mwislamu, msomi au sio msomi, wa mjini au kijijini..yupi sasa?
Kuna attributes nyingi unazotakiwa kuzi'hold constant' ili umpate huyo 'mwanaume wa kinyakyusa'
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha khabari chajieleza..karibuni kwa michango yenyu bhana

Uko kwenye project unataka tukupe data uandae ripoti, uwasilishe kisha ukavute mshiko ule peke yako!
 
No specification. Ungekuwa specific japo kidogo mi janaume la kinyaki ningekupa sifa kwani tuna kila sifa nzuri.
 
Ni kama unavyowaona dk.ulimboka na dr. Mwakyembe ndivyo wanyaki tulivyo.
 
Kumbe kuna tabia general kwa kabila lote?
 
....ni jamii ya wasudani kusini..wanaringa sana..
 
Back
Top Bottom