Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

malaya wa kutupwa, amini usiamini nisemayo...wanyakusa wanaume kwa wanawake wote huwa na pepo la ngono....wanaume huwa hawakati magovi kabisa...sawa tu na wahaya na wasukuma....mimi nimeishi mbeya, nimeoa mbeya pia.

Duuuuh_haya sasa ni matusi....halafu wewe **** nikikukamata......lazima nikukate kidevu...pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Huwa na magozi,Wengi huyaondoa ukubwani.

hivi kwanini mna kasumba mbaya ivi ya govi?kwani govi lina shida gani kwani ni ulemavu?alaa mtu amezaliwa nalo utoe usilitoe haina shida wala nini...wacheni mambo yenu ya kuonyesha GOVI ni kama si uanaume uliokamilika:rant:
 
Duuuuh_haya sasa ni matusi....halafu wewe **** nikikukamata......lazima nikukate kidevu...pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hahaha, mzee ukweli uko palepale...hawakati magovi, hata watu wa karibu yenu hao wabena wa njombe na wahehe wana mikono ya sweta....tabu inakuja kwenye kuoga au kuvaa nguo kwenye shule za bodingi...mnapata shida kweli...lakini jipeni moyo, siku hizi kuna kampani ya kukata mikono ya sweta, kule nzega wameshaanza muda kukata wasukuma na wanyamwezi....njombe pia walianza muda, hata watu wazima wanakatwa magovi....wanyakyusa na wasafwa hawakati kabisa...kuna asiyejua hilo...na umalaya ndo kiboko aisee.
 
hivi kwanini mna kasumba mbaya ivi ya govi?kwani govi lina shida gani kwani ni ulemavu?alaa mtu amezaliwa nalo utoe usilitoe haina shida wala nini...wacheni mambo yenu ya kuonyesha GOVI ni kama si uanaume uliokamilika:rant:
mzee kama wewe nawe bado unalo govi, nenda kakate haraka...ni uchafu....uwe mkristo au muislam ni uchafu huo..ndo maana Mungu alimwambia ibrahim akakate govi na alikata akiwa mtu mzima kabisa....yale mautoko unabaki nayo, halafu magonjwa ya zinaa kwako wewe yanakupata kirahisi, na kuambukiza wengine ni kirahisi kwasababu naniliu yako inakaa mbichi tu haikauki na inakaa laini sana muda wote haiwi ngumu, hivyo ukifanya tu, hasa na mwanamke ambaye hajalowa vizuri, lazima uchubuke kwenye govi na kwenye kichwa cha naniliu pia....omba msaanda usaidiwe...
 
Hute unaumwa kasumba ya wazungu na iyo kata mikono sweta yenu...hakuna kitu cha namna hiyo,na suala la ibrahimu ilikua ni ibada ikimaanisha usafi wa rohoni...got that u sick head?
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha khabari chajieleza..karibuni kwa michango yenyu bhana

we unataka kabila unataka mr so and so?haya mambo ya kuamini kabila flani wako hvi mara nyingi hayasaidii manake watu tunachanganyana sana kikabila mfano mimi baba yangu mngoni mama mnyakyusya,mume wangu baba yake mchaga mama yake mhaya,sasa hao watoto wangu utasema wana tabia za wapi?deal na sifa za mwanaume unayemataka awe mume au mchumba sio kabila lake wakoje,tabia ina jengwa na vitu viwili inborn na mazingira,sasa kama mtu kalelewa kwenye mazingira sio ya kinyakyusa atakuwaje na tabia za kinyakyusa?na kama mtu kazaliwa na tabia zake binfsi atakuwa na tabia za kinyakyusa!kila mtu ana tabia zake sio za kikabila hizo zilikwa za zamani sana!
 
Dr.Ulimboka, Mwakyembe ,Mwandosya ,Mwakyusa , G.k ,A.y ,Emmanuel Gabriel Mwakyusa,Uhuru Suleiman,Shadrack Nsajigwa,Angetile Osiah , Yona Mwakyoma , Kibonde , Wasiwasi Mwabhulambo, Mwakalyelye , Quick Rock , Kamanda Mwambigija , Thobias Andengenye, Mch.Lusekelo,Mch.Mwakasege ,Ambilikile Mwasapile n.k Kila mmoja kati ya watajwa hapo juu ana tabia yake...unamtaka mwanaume mwenye wasifu kama wa yupi?
 
Dr.Ulimboka, Mwakyembe ,Mwandosya ,Mwakyusa , G.k ,A.y ,Emmanuel Gabriel Mwakyusa,Uhuru Suleiman,Shadrack Nsajigwa,Angetile Osiah , Yona Mwakyoma , Kibonde , Wasiwasi Mwabhulambo, Mwakalyelye , Quick Rock , Kamanda Mwambigija , Thobias Andengenye, Mch.Lusekelo,Mch.Mwakasege ,Ambilikile Mwasapile n.k Kila mmoja kati ya watajwa hapo juu ana tabia yake...unamtaka mwanaume mwenye wasifu kama wa yupi?

Mkuu umemsaha mwa Baba v!
 
iLA gENERALLY, WANYAKYUSA, NI,
1. WAJUAJI MNO. KILA KITU WANAJUA HATA KAMA HAKIPO.
2. MISIFA MINGI.
3. KWA KUPENDA TOTOZ NI BALAA.
NI HIZO TU.
 
ladywho naona watu hawataki kupa msaada..mimi nimesoma nao hawa ngoja nkupe..
1. Kelele-sifa ya kwanza kabisa hawa jamaa wana kelele mnoo..yani hata kama waongea nae ana kwa anashout kinoma.
2. Kujiskia-kutana na alieenda shule kidogo afu awe na vihela...atajitangaza mtaa mzima yeye ndo mwasakafyuka..
3. Kujionyesha/too boastful- akiwa na kitu cha tofauti na wengine..let say kanunu kiatu au kashona suti mpya..haoni hatari kusema yeye tu.
amependeza hata kama mpo watu 2000
4.hawawakubali makabila mengne kama wapo zaidi yao..
5.hawawakubali wanawake wao wa kinyakyusa..-hii ndo tabia mbaya kuliko ya hawa watu..wengi wanasema hawawezi oa huko kwao..hawapendi wanawake wao! Cjui why? Ntafanyia utafiti hli..
6.dharau..

Ila ukikuta wenye akili wanaburuza kwelikweli.!
7. Sio wachoyo.-msifie sifie tu..

mkuu hapo umenigusa, ila sielewi umefikia conclusion vip kwamba ni tabia mbaya wakati sababu huzijui. Kutooa nyumbani siyo dhambi, mimi kwa mfano nina sababu nyingi tu za kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom