Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

Wanaupendo wa kweli, wachapa kazi, wajasilia mali, wabishi na maisha hawakati tamaa, hawajipendekezi kwa mtu, wanajipenda sana (smart) na ni watu wenye msimamo hawapendi kuzinguliwa
 
ladywho naona watu hawataki kupa msaada..mimi nimesoma nao hawa ngoja nkupe..
1. Kelele-sifa ya kwanza kabisa hawa jamaa wana kelele mnoo..yani hata kama waongea nae ana kwa anashout kinoma.
2. Kujiskia-kutana na alieenda shule kidogo afu awe na vihela...atajitangaza mtaa mzima yeye ndo mwasakafyuka..
3. Kujionyesha/too boastful- akiwa na kitu cha tofauti na wengine..let say kanunu kiatu au kashona suti mpya..haoni hatari kusema yeye tu.
amependeza hata kama mpo watu 2000
4.hawawakubali makabila mengne kama wapo zaidi yao..
5.hawawakubali wanawake wao wa kinyakyusa..-hii ndo tabia mbaya kuliko ya hawa watu..wengi wanasema hawawezi oa huko kwao..hawapendi wanawake wao! Cjui why? Ntafanyia utafiti hli..
6.dharau..

Ila ukikuta wenye akili wanaburuza kwelikweli.!
7. Sio wachoyo.-msifie sifie tu..

Hapo umebugi meeen!
Hakuna mabibi wazuri kwa kila hali kama wa kwetu.
Idara zote zimekamilika!

Nakuwekea picha ya mamsap wangu,

Kwa tahadhari nina mbwa wakali sita, na jirani yangu Mpemba nimempiga marufuku kuja nyumbani bila kuniarifu.
 
hizi threads sasa zinaboa

mnyakyusa kazaliwa dar,mbeya anaenda kusalimia..

mnyakyusa kazaliwa London kaja TZ ana miaka 18....

mnyakyusa kazaliwa na mama mzaramo na kalelewa kisiju kwa wajomba zake

mnyakyusa kazaliwa Tanga ambapo baba na mama yake waliishi kikazi

mnyakyusa kasoma Kenya from Primary to University........

get it now?

Haswaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Jamani tuongee bila chuki, hawa watu wana sifa hizi!
Ni wapole sana wasipoingiliwa na mtu.
Ni wachapa Kazi sana viongozi Wa kinyakyusa tulio nao ni mifano michache tu.
Ni wasafi sana yaani ni wanadhifu hiyoni hadi kwa wale wazee walioko interior kabisa.
Wanapenda kujitambua yaani hata wakiwa ugenini utawatambua tu kwani kinyakyusa huwa kwenye fingertips muda wote.
Wananguvu we are physically tough, and survivors sana!
........atayenibishia awe na hoja za kweli, nami nitaomba backup kwa watu8 bujibuji masopakyindi gwangambo dconcious etc
 
ladywho naona watu hawataki kupa msaada..mimi nimesoma nao hawa ngoja nkupe..
1. Kelele-sifa ya kwanza kabisa hawa jamaa wana kelele mnoo..yani hata kama waongea nae ana kwa anashout kinoma.
2. Kujiskia-kutana na alieenda shule kidogo afu awe na vihela...atajitangaza mtaa mzima yeye ndo mwasakafyuka..
3. Kujionyesha/too boastful- akiwa na kitu cha tofauti na wengine..let say kanunu kiatu au kashona suti mpya..haoni hatari kusema yeye tu.
amependeza hata kama mpo watu 2000
4.hawawakubali makabila mengne kama wapo zaidi yao..
5.hawawakubali wanawake wao wa kinyakyusa..-hii ndo tabia mbaya kuliko ya hawa watu..wengi wanasema hawawezi oa huko kwao..hawapendi wanawake wao! Cjui why? Ntafanyia utafiti hli..
6.dharau..

Ila ukikuta wenye akili wanaburuza kwelikweli.!
7. Sio wachoyo.-msifie sifie tu..

Hahahahahaahahah! Umenifurahisha sana , ni kweli hawaoi kwao sijui ni kwa nn , na ukiwauliza hawasemi.

Pia kama umeoa mnyakusya wewe ni kabila lingine, mgeni akija kwako atafikiri woote ni wanyakusya, nina maana kwamba wanatabia ya kuteka mji.
 
The Boss hata mimi siwaelewi hawa wanaoulizia sifa za watu kwa muktadha wa makabila..
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kupata kitu kinaitwa 'mwanaume wa kinyakyusa' au 'mwanamke wa kipare'
Huyu mnyakyusa aweza kuwa mkiristo au mwislamu, msomi au sio msomi, wa mjini au kijijini..yupi sasa?
Kuna attributes nyingi unazotakiwa kuzi'hold constant' ili umpate huyo 'mwanaume wa kinyakyusa'
Naomba nimsaidie huyu kwa criteria ulizoziweka hapa:
1.Mwanume wa kinyakyusa wa kijijini asiyesoma:mwanamke uliyenaye jipange,wanapenda ubwana wamelelewa kuwa mwanume ni kila kitu kwa hiyo jiandae mwanaume ndo final say yako no comment.visheria vingi kama nini.
2.Mwanaume wa kinyakyusa wa mjini na msomi:Wanapenda kwa dhati,wana upeo mkubwa wa kufikiri,wana misimamo,wenye kujisikia ila hawana ubwana sema kujiona na dharau za kufikia sana tuu.
Kwa ujumla wanaume wa kinyakyusa ni wanaume wenye kupenda kwa dhati,wenye upeo mkubwa wa kufikiri,wasiopenda kuonewa,wenye misimamo thabiti,wenye kujisikia,dharau nyingi na wapenda ubwana.Kubali yote.
 
Hahahahahaahahah! Umenifurahisha sana , ni kweli hawaoi kwao sijui ni kwa nn , na ukiwauliza hawasemi.

Pia kama umeoa mnyakusya wewe ni kabila lingine, mgeni akija kwako atafikiri woote ni wanyakusya, nina maana kwamba wanatabia ya kuteka mji.

kuna jamaa mmoja nimesoma nae ni mnyakyusa.. aliapa kabisa.. baba yake ni mnyaki na mama yake... ila alisema kamwe hawezi oa Mnyakyusa..

katika kuteka mji hapo ndo usiseme.. usiombe uwe umepanga nyumba ina wanyakyusa watatu.. utaama
 
Mademu wao wabaya ndo maana hawawaoi.....to my experience, sijawahi kuona dem wa kinyakyusa mzuri.

Ingewezekana ningekutumia picha ya mama angu ili ubadil hiyo fikra kwan ni bonge la beauty na anakubalka tang enz zake mpk leo .com na ni mnyaki pure!
Vp Bahat Bukuku nae co mzuri!?
 
Thread hii imefungwa rasmi na mimi, dume la kinyakyusa, sifa zetu, check avatar yangu, mwanaume asifiwi uzuri, utaliwa 0713!
 
Si kwamba hawaoi wanawake wa kabila lao isipokuwa ni wanaume ambao wanapenda kuheshimika sana akipanga kitu basi kisibishiwe (yaani ukoloni fulani hivi) sasa wanawake wa kinyakyusa hawako hivo cz katika vitu wasivyovipenda ni kupelekeshwa wao husimama katika haki, ndani ya nyumba kunakuwa na mapingano fulani hivi. Ndiyo maana kwa wanaume waliotoka nje wanapenda kutafuta wanawake wa kabila lingine mbaya zaidi kwa dharau zao ww mwanamke wa kabila lingine ulioolewa lazima upewe jina (NJANGA) kwa maana ni mwanamke wa kiswahili.Kwa tabia nyingine kiukweli wengi hujali familia zao, heshima, kumcha Mungu.
 
Back
Top Bottom