Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

Principal khanga haifungwi mguu ila kazi kubwa ya khanga ni kukusanya upepo ambao wakati alojifunga khanga akipiga hatua basi ule upepo ukinzane na mwelekeo wa nundu/mkia na kuacha vibration ambazo mara nyingi ni fahari ya macho ya mabazazi!
 
Naona hali ya hewa inaanza kubadilika!!
Kagusa pabaya, hebu nifikirie tumiguu turefu kongoro na ngozi weka kwenye pensi halafu mifupa ya mabega ndani ya vest hahahahahaaa inavyochomoka sasa, bora bint asiyefunga kanga anamvuto wake
 
huwa wanafunga kanga mlegezo, hujawahi waona? haipiti kiunoni, inapita katikati ya tako. Mage huwa anatolelezea sana.
 
Bora hata wasiwe wanafunga.. Wakifunga wanazungusha kiunoni zaidi ya mara tatu, mtu unashindwa kusoma ile misemo ya kwenye khanga..
 
sasa mnanichanganya mara mseme wanene wana vitambi vinakera nimeanza diet mnasema wembamba ni shida sielewi nibaki wapi
 
Back
Top Bottom