NAWAPASULIA
Member
- Oct 5, 2010
- 25
- 0
- Thread starter
-
- #81
Nonsense..................stupid people are proving the extent of their stupidness.....................
ARGUMENT IS AN EXCHANGE OF IGNORANCE BUT DISCUSSION IS AN EXCHANGE OF KNOWLEDGE
Totally agree with you. I mean, inabidi ifike sehemu tuipende TANZANIA kuliko tunavyovipenda vyama vyetu. NAWAPASULIA, kuna story moja [kwa mujibu wa K.S. Kaisori, katibu mstaafu wa Nyerere] inayoelezea similar thing kama ulichoandika hapo juu. Story yenyewe inaenda hivi, and I quote Mr. K.S. Kaisori, "Siku moja Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Ameir akifuatana na Mhe.Maokola Majogo walikuja Butiama bila taarifa. Walipofika nilikwenda kumwita Mwalimu shambani na njiani alisema kwa masikitiko kwa nini nilichelewa kumpa taarifa kuhusu ujio wa wakubwa hao. Nilimwambia wamekuja ghafla. Kabla ya kuwasalimu Mwalimu alikwenda kusali chumbani kwake na alipotokea aliwauliza kuna jambo gani kubwa ambalo liliwaleta pasipo taarifa. Walijibu kuwa wametumwa na Kamati kuu ya CCM kumweleza kuwa anaaibisha CHAMA kwa kuzungumza na wapinzani Mrema na Sharif. Mwalimu aliuliza walikuja kwa njia gani? Wakajibu kuwa kwa ndege. Akauliza ndege gani? Wakajibu Jet ya Rais. Akauliza tena: ile ambayo nilikuwa natumia? Wakasema ndiyo! Mwalimu aliuliza hivi mnapo niita Baba wa Taifa nilileta maombi (application) serikalini au katika chama niitwe hivyo? Hivi Mrema na Sharif siyo watanzania? Hivi kuunda vyama vya upinzani ni usaliti? Hivi nyinyi CCM kama hamnihitaji kwa ushauri kwa vile mnajua kila kitu basi nisizungumze na vyama vingine? Hivi hamjui kuwa mimi Baba wa Taifa ni above political parties? Mmesema nina kadi namba moja, sawa kwa hiyo mmekuja kunikamata hapa kwetu nilipozaliwa? Maana wewe Ameir ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Majogo Ulinzi? Aliendelea kwa kusema kuwa, kama hilo ndilo lililowaleta na kama mmetumwa na mwenyekiti Mhe.Ali Hassani Mwinyi na kamati yake ya Central Commitee (CC) basi kuleni chakula na baada ya hapo nitawapa kadi yenu kisha ondokeni! Mimi naijali na kuipenda Tanzania kuliko vyama vyenu, mnasikia?"Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Kwanini aifunge hii topic. Freedom of speech, yakheee!?Mod, Naona jamaa kisha pata ushauri wa kutosha humu. Tunaomba uifunge hii topic ili tujadili mambo ya maan. Nilishasema huko nyuma hawa Members wa August, September na October wa something in common ingawa mmoja wao alilalama sana humu na kufungua thread ya kunishitaki.
Chadema chadema chadema your no longer good
you have been stolen
mbowe$dr slaa are thief
they are outsoursing their rubbish to you
shame on them for they don't want to change
am going my dear chadema though i love you
bye bye bye bye dear chadema
Takataka tu hizi. Harufu yake haizoelekiWana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Watu makini hawazungumzi watu wanazungumzia issues,huyo jamaa achaneni,maana ukibishana na mpumbavu na wewe utaonekana mpumbavu.
kama ulienda kutafuta ndume chadema umekula kwako.hapo ni heri kuchukua kifaa cha mtu kuliko kula bwabwa peleka ccm pengine wanahitaji.Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM