Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

kujiua kwa sababu yeyote ile sio sahihi ,lakini siamini kama ni busara kwa wachangiaji wanaotoa dhihaka katika uzi huu,we all get low and down some time!
 
Kabla hujajimaliza hiyo ijumaa, uza vyeti vyako vya elimu. Itasaidia kupata hela ya kamba, na utaacha kidogo kwa wanafamilia wapate kianzio ata cha sanda na jeneza.

Kufa kupo kwa njia nyingi, naona umechagua hii, fresh tu mnyalukolo.
 
Duh! Kama hii ndio solution iliyobaki kwa tusio na ajira, inabidi tuandae tamasha maalum tujiue wote kwa pamoja tuweke na historia.
 
Jinyonge leo mpaka ijumaa mbona mbali mkuu then kitambo cjala ubwabwa wa msiban kitambo!
 
hahahahhahhhaha mtoa mada umeniacha hoi hahahahahaha ...kufa sasa hahahaha rest in peace, hivi nikuulize kwahy elimu yako ya chuo kikuu unaona elimu sana eeh kiasi cha kuh kukosa ajira inakunyanyasa ndo ujinyonge, duuh we noma.........ila nahs umekuja kutufurahisha..haya weka cv yako tukusaidie wenzio
 
mwanazuoni2 popote ulipo just write back to me. There is a solution for every problem. Pole Sana I really understand your frustrations.
 
Last edited by a moderator:
Never do that!! You should not let anyone block your way!!!! I mean no one, even yourself!!
 
Never do that!! You should not let anyone block your way!!!! I mean no one, even yourself!!

You are right. This guy need a lot of mental support. Six years kitaa ni mingi mno.

Hamna anayependa kukaa bila ajira au kuajiajiri. Sometimes amejitahidi kwa kila awezalo but imeshindikana. Pia inategemea na family background ipo vipi. Maybe all eyes are on him baada ya kumaliza chuo waliexpect ndio atakuwa mkombozi....its tough kama huna moyo mgumu
 
nimefurahi atleast unaelewa ni hali gani anaipitia mwenzetu,naamini Mwenyezi Mungu ni mwaminifu popote alipo hajafanya lolote baya!
Blessed ninaelewa hali ilivyo na changamoto watu wanazopitia ktk ajira. Watu wanadai ooh ajiajiri? Do they know yupo katika mazingira gani? Opportunities zipi anazo?
God knows and am really sure atamwepusha na hayo mawazo mabaya. Maana inawezekana katumia kila lililo ndani ya uwezo wake amefikia kikomo kwa mtazamo wake. But napenda kumwambia kila jaribu lina mlango wa kutokea. I just pray for him. mwanazuoni2 I hope you can PM me
 
Last edited by a moderator:
Anayetak kujiua huwa hasemi ni vitendo tu,usije ukamkufuru mungu tena,wapo watu wanatoa ela kwajili ya kupata uzima,wewe ndo wataka kujiua kisa huna kazi,sio lazim ukisoma ndo uajiriwe,unawez ukatafut mtaji ukafany biashara,muombe msamah mungu wako
 
Back
Top Bottom