hebu msaidie kijana japo akaushe vile vyombo ulivyokuwa unaviosha. vibaya hivo ujue.
Kazi kweli kweli,Ina maana aliyeanzisha thread humuoni au unaofanywa makusudi!Kwa nini usitumie sumu ya panya pia uchanganye chupa kwenye huo mpango wako wa kujimaliza?