MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 151
Kama unauza kiwanja na msingi kwa 3m huoni kuwa ushapata picha 3m itakufikisha wapi?Wakuu habari za hapa jamvini?
Nitumbukie kwenye mada yenyewe...
Ukiuza kiwanja Chenye msingi wanunuaji hua hawahangaiki na msingi ulioujenga(haupigwi kwny gharama za kiwanja) na Kuna mnunuzi mwingine anakwambia ukitaka ubomoe kabisa huo msingi uondoke nao Maana sina Mpango nao.Kama unauza kiwanja na msingi kwa 3m huoni kuwa ushapata picha 3m itakufikisha wapi?
Huyo amependa ule msingi anataka kuendeleza.Ukiuza kiwanja Chenye msingi wanunuaji hua hawahangaiki na msingi ulioujenga(haupigwi kwny gharama za kiwanja) na Kuna mnunuzi mwingine anakwambia ukitaka ubomoe kabisa huo msingi uondoke nao Maana sina Mpango nao.
Kiwanja ukishaweka msingi. Kukiuza unakula hasara ya msingiKama unauza kiwanja na msingi kwa 3m huoni kuwa ushapata picha 3m itakufikisha wapi?
Kiwanja ukishaweka msingi. Kukiuza unakula hasara ya msingiKama unauza kiwanja na msingi kwa 3m huoni kuwa ushapata picha 3m itakufikisha wapi?
Niuze kwa bei gani mkuu?Usiuze kwa bei hiyo...
Hapo anauza ni kiwanja mkuu,hata uwe na pagala bado utauza ni kiwanja.Ukiuza kiwanja Chenye msingi wanunuaji hua hawahangaiki na msingi ulioujenga(haupigwi kwny gharama za kiwanja) na Kuna mnunuzi mwingine anakwambia ukitaka ubomoe kabisa huo msingi uondoke nao Maana sina Mpango nao.
Hahah nakubali mkuu.Hapo anauza ni kiwanja mkuu,hata uwe na pagala bado utauza ni kiwanja.
Ndio bei ya fasta anayoweza pata mtaji.Usiuze kwa bei hiyo...
Nipo Hanang' ManyaraUko wapi mkuu